Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Wamshauri angalie alipokosea na kujirekebisha na afanye music not drama,na aliache hilo limwanamke lake
Hahahaaaa,hawezi kumuacha huyo ndiye anayemuweka mjini...akimuacha tu kwisha habari yake....
Wamshauri angalie alipokosea na kujirekebisha na afanye music not drama,na aliache hilo limwanamke lake
Me nadhan isue ni kuwa kuwaandaa watu wazomee,bilaa kujali wamelipwa au laaa,kwani inawezekana kbs kuwaandaa na kutowalipa chochote!...it is possible kwani si iko hvo kwann sku za nyuma haiktokea,na hali ya kumlambanisha kiba na Diamond haijaanza leo imekuwa ikifanyika kwa namna ya kivjomozi na sio leo tu
The Climax
Wakitaka wafanikiwe wamlete msanii mwingine maana huyo davido hana jipya...hata wakimleta Tiwa Savage au Mr. Flavour sio mbaya
wee wamlete wizkid na "show you the money" pale kati watatisher kinoumer
Kaniudhi mi nishasubiriiiii
Nadhani clouds wanauelewa na barua waliyopata coz barua ilimzuia dvdoo kufanya shoo tarehe 18 na sisi tunavyojua tarehe hubadilika pindi itakapofika saa sita6 usiku na davido alipanda mida kama ya saa nane so Times fm kisheria wamepigwa chini bora watulie coz dvdooo alifanya shoo trh 19
HUU UZI UKIKAA MPAKA KESHO NITASHANGA SANA...
Labda lemutuz le bichwa jinga bin mapens nyanya asipite hapa..
Times fm watulie wasije uza ng'ombe kwa kesi ya kuku
umaarufu unatafutwa kwa nguvu mkuu.Coaster 25 Tufanywe kila Coaster ilikuwa na watu 20 kwa hiyo 25*20=500 watu 500 hawa walikuwa wanalipa 15000 kila mtu watu 500 hapa wangelipa 7,500,000 hicho ni kiingilio haya tuseme aliwalipa kila mtu 20000 nje ya kiingilio maana yake watu mia tano walilipwa 10,000,000 jumlisha na za viingulio unapata mil 17.5
Ni kweli kiba ana hela kiasi hiki kwa ajili tu ya kuhonga watu wa kumzomea Diamond??
Kwani le mutuz yupo upande gani kwenye hii vita???