Picha namna K-Lyn alivyosherekea birthday party yake chini ya Mengi na Diamond Platnum

sidhan kama ule msemo wa pesa haiwez nunua chochote utakacho kama uko valid anymore nowdays!!!
 
Jacqueline, hakika umewatendea wema Watoto wako, kamwe hawata kulaumu, na watakushukuru Milele. Mapenzi ni kitu kingine, lakini, nani wa kuzaa nae, ni swala la kutumia akili zilizotukuka.

Be happy and enjoy your life Ky - lyn
.
 
ImageUploadedByJamiiForums1413920381.800845.jpg

Yule tajiri wa Nigeria akitumbuiza kwenye birthday ya my wife wa ze bilionea orijino(acha huyu ze bilionea wetu feki wa hapa jf na mitandaoni)

Shikamoo pesa
 
Huyu jackline hachuji,tangu alivyo kuwa 2001 mpaka leo bado yupo vile vile kamzid hadi SITTI MTEMVU kwa uzuri

Ni kweli aisee siri ni kujitunza na kujipenda ndo kume mfikisha hapo pia hana stress tofauti na wenzako wanategemea kuuza papuchi waishi mjini waki fulia wanakua stress na kupauka kajitahidi kwa kweli she is looking younger than our bibi bomba Sitti
 
Dah mzee Mengi ndio anakamua huyu manzi,,aisee kweli pesa ni msala mkubwa! Duh aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom