Recent content by Arestide

  1. Arestide

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

    Kaka upo sahihi sana, Volks polo au golf nyingi zinaenda speed 220 =- 260 nyingine mpaka 300 kph. We na crown yako 180 kph unamkataje huyo mtu
  2. Arestide

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Huu uzi nimeupenda sana,
  3. Arestide

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojifunza uchawi nikiwa ningali mdogo shuleni

    Kafara ni sadaka inayotolewa Kwa Mungu au miungu. Hata katika maisha ya kawaida kafara tunafanya sana tu,
  4. Arestide

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojifunza uchawi nikiwa ningali mdogo shuleni

    Uchawi upo, na saivi ndo unakuwa na kujitanua zaidi. Wachawi wa sikuizi wameongeza technologia Yao ili kuendana na wakati
  5. Arestide

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojifunza uchawi nikiwa ningali mdogo shuleni

    Iendele tafadhari
  6. Arestide

    JamiiForums Tanzania Msaada Tiba ya maumbile madogo

    Life is vice versa bro,
  7. Arestide

    JamiiForums Tanzania Msaada Tiba ya maumbile madogo

    Hapo kikukwa achana na dhana hiyo, watu wengi penis zao zinaanza nchi 4.5 mpaka 8. Ukiwa chini au juu ya hapo Ndo unaweza kusema ni shida.
  8. Arestide

    JamiiForums Tanzania Msaada Tiba ya maumbile madogo

    Nch tano fresh hio, unatakiwa kujiamini tu
  9. Arestide

    JamiiForums Tanzania Ratiba yako ya kwenda 'Site' ni ipi?

    Mimi Kila siku asubuhi na mapema naenda kumwagilia kabla ya kwenda ofisini, na jioni napoludi home napitia ndipo naludi home. Na siku ofisini kukiwa hamna kazi hiyo siku ntashinda na mafundi nawasupport na story za hapa na pale jioni nageuka nao pamoja.
  10. Arestide

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tom boy ndani ya ghetto langu!

    [emoji23][emoji23] niliogopa mwisho demu katembea na dildo yake kiunoni, ungepoteana ase
  11. Arestide

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria: Mahakimu wenye elimu ya astashahada na stashahada kufutwa kazi

    Hii ni kazi kwakweli. Kila sehemu matamko yaongoza taifa, kunamaana gani ya kuwa na kanuni na taratibu. Kwa hizi taratibu sasa hata sheria za nchi hazina kazi tena, haswa haki ya kikatiba ya mwananchi wa kitanzania ipo ukingoni kupotea. Hii hali sio nzuri kwa Tanzania sasa.
  12. Arestide

    JamiiForums Tanzania Whatsapp group Admin nimeblokiwa nifanyeje?

    Mm nataka nielewe jinc ya kuhack msaada please
Back
Top Bottom