Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,881
Wabongo kujifanya mnajua wakati hamjui 🚮🚮🚮Mafuta ya kitunguu swaum unayajua mkuu...hakuna mswahili anaweza extract hayo mafuta..mnapigwa tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo kujifanya mnajua wakati hamjui 🚮🚮🚮Mafuta ya kitunguu swaum unayajua mkuu...hakuna mswahili anaweza extract hayo mafuta..mnapigwa tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapigwa..yale mafuta ya nazi wanawapiga ma ostazi..hahah..wee wa mkoan nin shehke..mjin tupo kitambo..mnapigwa..hiv unajua ku extract mafuta ya kitunguu swaumu upate mils hata 30 unahitaj kitunguu swaum kias gan..? Sasa nenda kaulize au google kwanza halaf rud hapaWabongo kujifanya mnajua wakati hamjui![]()
Kwamba kitunguu swaumu ukikamua huwezi toa mafuta? Kachupa kadogo kanauzwa elfu kumi... Nikuulize ukinunua vitunguu swaumu vya elfu kumi huwezi kupata mafuta ya kujaza kwenye kile kichupa cha kuwekea dawa ya sindano? Yaani umri huu nisijue tofauti ya mafuta ya nazi na mafuta ya kitunguu swaumu? Utakuwa na matatizo wewe.. hata tukitaka mafuta yako yanaweza kupatikanaMnapigwa..yale mafuta ya nazi wanawapiga ma ostazi..hahah..wee wa mkoan nin shehke..mjin tupo kitambo..mnapigwa..hiv unajua ku extract mafuta ya kitunguu swaumu upate mils hata 30 unahitaj kitunguu swaum kias gan..? Sasa nenda kaulize au google kwanza halaf rud hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapigwa..yale mafuta ya nazi wanawapiga ma ostazi..hahah..wee wa mkoan nin shehke..mjin tupo kitambo..mnapigwa..hiv unajua ku extract mafuta ya kitunguu swaumu upate mils hata 30 unahitaj kitunguu swaum kias gan..? Sasa nenda kaulize au google kwanza halaf rud hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tano mkuu
Life is vice versa bro,Hahah..maneno ya kujifarij haya kaka...mwanamke akiona mashine ya manaa lazima achangamke..utamwona tu usoni...hahah...na utaona anawai kuifanya kama koni...hapo ujue ameipenda mashine...achana ma mambo ya kuridhisha..manaa kuridhisha hata kidole kinaweza mridhisha..ishu ni hyo satisfaction ya kujiamin na kupendwa.hakuna mwanamke anapenda mashine ndogo..wanawapa tumain tu.hahah..huu ndo ukwel kaka..ts like useme wanawake wanapenda watu wafupi..hahhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan kabisaa ostaz akukamulie mafuta ya kitunguu swaum akuuzie elf 10?..., Narudia tena..mnapigwa vibaya...nenda kaongee nao vzur watakwambia ukwel...kariakoo mitaa yangu hyo hunidangany kitu..wauza tende wale wakukamulie mafuta ya vitunguu swaum?hahaha...ni sawa wanaopigwa wale wanaouziwa mafuta ya mzeituni.....Kwamba kitunguu swaumu ukikamua huwezi toa mafuta? Kachupa kadogo kanauzwa elfu kumi... Nikuulize ukinunua vitunguu swaumu vya elfu kumi huwezi kupata mafuta ya kujaza kwenye kile kichupa cha kuwekea dawa ya sindano? Yaani umri huu nisijue tofauti ya mafuta ya nazi na mafuta ya kitunguu swaumu? Utakuwa na matatizo wewe.. hata tukitaka mafuta yako yanaweza kupatikana
Sawa..ila sio ya hapo kkoo..hayo si umetoa gugo..weka ya kkoo halaf ntakwambia hayo ni ya kula sio ya garlic..choko
Kwani mimi kuna mahali nimeandika " maustaz wanakamua mafuta"? Au nimesema kuuza. Kwani ukiuza vitu lazima utengeneze wewe?Yaan kabisaa ostaz akukamulie mafuta ya kitunguu swaum akuuzie elf 10?..., Narudia tena..mnapigwa vibaya...nenda kaongee nao vzur watakwambia ukwel...kariakoo mitaa yangu hyo hunidangany kitu..wauza tende wale wakukamulie mafuta ya vitunguu swaum?hahaha...ni sawa wanaopigwa wale wanaouziwa mafuta ya mzeituni.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umesema niende gugo.. nimeenda nimekuletea... halaf nani hapa ameongelea kariakoo? Inaonekana wewe maisha yako yote ni hapahapa Tanzania, hujawahi kwenda nchi za watu ukaona zaidi ya hiyo kariakoo. Acha kujifanya unajua kila kitu wakati kichwani ni empty..Sawa..ila sio ya hapo kkoo..hayo si umetoa gugo..weka ya kkoo halaf ntakwambia hayo ni ya kula sio ya garlic..choko
Sent using Jamii Forums mobile app
Unene sii saana ni urefu tuuDuh, hii inasaidia kweli....na unene je?
ah kmmmmmke we umeua

Niwe kibaka au sio!!ah kmmmmmke we umeua

Mkuu una elimu gan kwanza? Nsije nkawa napoteza muda hapa..maana mtu anaeamin ukipaka mafuta ya garlic inarefuka kuna uwezekano ana elimu ndogo na uelewa mdogo sanaWewe umesema niende gugo.. nimeenda nimekuletea... halaf nani hapa ameongelea kariakoo? Inaonekana wewe maisha yako yote ni hapahapa Tanzania, hujawahi kwenda nchi za watu ukaona zaidi ya hiyo kariakoo. Acha kujifanya unajua kila kitu wakati kichwani ni empty..
Sina muda hata wa kukujibu... ulisema hakunaga mafuta ya garlic, nikakuonyesha. Sasaiv unaulizia elimu yangu. Acha kujifanya unajua wakati hujui kitu. Fact kama ni mpya kwako jifunze, sio kujifanya eti wewe ni " born town" wakati ni mburula tuMkuu una elimu gan kwanza? Nsije nkawa napoteza muda hapa..maana mtu anaeamin ukipaka mafuta ya garlic inarefuka kuna uwezekano ana elimu ndogo na uelewa mdogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba nilisema hakuna mafuta ya garlic au nilisema hayo mafuta huko kkoo hakuna mnapigwa mnauziwa ya kula...mzee unazid nidhihirishia kitu hapa...Sina muda hata wa kukujibu... ulisema hakunaga mafuta ya garlic, nikakuonyesha. Sasaiv unaulizia elimu yangu. Acha kujifanya unajua wakati hujui kitu. Fact kama ni mpya kwako jifunze, sio kujifanya eti wewe ni " born town" wakati ni mburula tu
Wewe utakuwa choko sio bure..mimi nilimwambia jamaa anaweza pata hayo mafuta kwenye misikiti mbalimbali hapa nchini popote alipo..wewe umekazania kariakoo.. kariakoo...huko ndo kuna basha wako nini? Mwanzo ulisema nigugu hakunaga mafuta ya garlic..nimekuletea ushahidi, sasa hivi unageuka tena kwamba hukukataa. Wewe sema huna hoja, ulijifanya kujua, nimekudhalilisha vibaya. Period!Kwamba nilisema hakuna mafuta ya garlic au nilisema hayo mafuta huko kkoo hakuna mnapigwa mnauziwa ya kula...mzee unazid nidhihirishia kitu hapa...
Na nikakwambia kabisa unajua ku extract mafuta kutoka kwenye garlic upate hata 30 mils inahitak uwe na garlic kias gan?si nilikuuliza..sasa mbona unataka geuza nionekane kama nilisema hakunaga mafuta ya garlic ever.....mkuu nmekuuliza una elimu gani???..naomba unijib tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app