Tom boy ndani ya ghetto langu!

Tarakimu hii "12",imenifanya niukumbuke mwezi wa kumi na mbili mwaka jana katika moja ya mtaa niliokuwa naishi nilikuwa na washkaji zangu kadhaa ambao tulipata kufahamiana katika jioni tulivu,wakati tunapiga stori simu yangu mfukoni ikavibrate kuashiria Kuna mtu ameni sms.
Sikuifungua haraka kutokana na stori kunoga vilivyo!,nilitulia kama dakika kadhaa hivi ndo nikaifungua.. nikakutana na namba ngeni ambayo sikuifahamu huku ikiwa imeniandikia kwa ufupi tu
"Mambo".
Nilitafakari kabla ya kujibu ili nipate kukisia mwenye sms hiyo alikuwa ni nani lakini hata sikuweza kutambua ila kwa aina ya uandishi huo nilijiongeza tu alikuwa ni manzi.
Nilijibu poa nakurudisha simu mfukoni nakuendeleza stori na masela wangu mpaka kigiza kikaanza kutanda kila mmoja akashika njia yake kuelekea alipopataka.

Binafsi sikuwa na misele myengine zaidi ya kushika njia ya kurudi ghetto ambako hata hapakuwa mbali. Njiani nikakumbuka kuwa Kuna mtu alinisms na nilimjibu so nikachomoa simu Tena na kukuta sms ambayo iliuliza kiufupi tu
"Uko wapi..?"
Sikujishughulisha na swali lake moja kwa moja nami nikamuuliza "we nani..?"
Kisha nikacheki muda ilikuwa mida ya saa moja na nusu hivi, nikaweka simu mfukoni nakuendelea na safari yangu!.
Lakini haikuchukua muda simu tena ikakita sms kucheki ni ile namba ikiwa imejibu!. "Veronica!" Tena akauliza "uko wapi..?"

Kitendo cha kunijibu hivyo tu nilihisi ni mtu fulani ambae alipatikana mtaa huohuo niliokuwepo,lakini nilisita kidogo maana kwa huyo vero niliemjua mimi hatukuwa na mazoea kihivyo zaidi ya salamu na stori mbili tatu tu ambazo hazikuwa na nguvu kihivyo..
Ili nipate uhakika zaidi nilimuuliza vero wa wapi..?
Akanijibu kwa kunitajia jina la mzee wake so hapo nikawa na hakika kuwa ni yeye niliemzania ila majibu yake hayo yalifanya nipate maswali kadhaa ambayo yalikita kichwani kwangu.
No yangu nani alimpa..? Hili sikuona hata haja ya kumuuliza ingekuwa ni ushamba tupu!. Lililokita zaidi ilikuwa ni anashida gani mpaka kunitafuta maana pigo zake na zangu ilikuwa Kama haziendani fulani hivi!.
Nilipotezea nakuendelea kuchati nae kawaida huku akinitaka nikifika ghetto nimjulishe!.

Nami sikuchukua muda mrefu baada ya kufika gheto nilioga kwanza nikavalia pensi yangu na tisheti ndo nikashika simu kumjulisha kuwa nimekwishafika!.
Baada ya kutuma sms nilitulia nikiwaza kuwa usiku huo minyoo yangu tumboni ningeilisha nini!!. Wakati huohuo sms yake ikakita Tena
"Sawa nakuja!"
Nilihisi kama huyu manzi labda anashida fulani lakini sikuweza kukisia shida yake ilikuwa ni Nini!. Niliamua niachane na maswali kumuhusu nijifikirie bachela mwandamizi ningetia nini tumboni.
Nilicheki kwenye sufuria nakukuta nyama niliyokuwa nimeibakisha hapo mchana,kibaharia tu nikaipima nakujua hii ingenitosha na ugali siku ikaisha,wakati nairudisha nikachomoka na kipande kimoja cha nyama nakukitia mdomoni kisha nikarudia simu yangu nakucheki muda ilikuwa mishale ya saa mbili namidakika hivi..

Hapo nikaamua niwashe bufa nikaunga Bluetooth ya kwenye simu nikaanza kula muziki.
Punde mlango ukagongwa nikajua mgeni wangu amewasili,nikafungua lakini nikiwa palepale mlangoni nikamsalimu huku nikimsikiliza niligundua ugeni wake haukuwa wa kuishia nje tu!.
Nilimkaribisha mpaka ndani nae akakaribia!.

Dressing code yake haikunishangaza coz nilikuwa nishamzoea,alikuwa amepigilia pensi moja kubwa yenye mistari myeusi kadhaa huku juu akivalia tisheti nyeusi ilikuwa na picha ya simba kwa mbele.. hii ilikuwa ni moja ya tisheti yake ambayo niliiadimaya kimoyomoyo!. Kiufupi alikuwa ni binti fulani mwenye pigo za ki tom boy na stori zake nyingi nilipata kwa washkaji toka nilipofika mtaa huu ila sikuwahi sikia akisemwa kwa ubaya japo wadada wengi walimpondea coz hakupenda kujihusishanao kihivyo!.

Kichwani panki yake ilimkaa vilivyo,nikamkaribisha mpaka kwenye kijisofa cha siti mbili kilichokuwa mkabala na kitanda, alivyokaa mi nikaiendea redio nakupunguza sauti kidogo nikaketi kitandani na kumtazama mgeni wangu ambae nilikuta macho yake yakimalizia kudalizi ghetto langu na sura yake ikaonyesha kitabasam hafifu! Nakutupia ka sifa fulani "uko vizuri"
Nikajikuta tu nami natabasam huku nikijibu "kawaida tu vero".

Tulipiga stori mbili tatu wala hakuonyesha dalili yoyote ya kusema shida yake hapo ndo maswali yakazidi kunikita kindakindaki!.. muda nao ukazidi kusonga tunakula stori tu ikafika saa tatu na midakika ya kushiba ndo nikagundua manzi huyu hakuwa na lengo la kuondoka muda huo..😅
Siku hiyo niliona kama ni muujiza wala sikutarajia ugeni huu ambao sikuwa na mazoea nao..
Punde simu ikaingia sms alikuwa ni mchizi wangu fulani hivi akiniambia kuwa huyu manzi alimuomba contact zangu nikamjibu tu kwa ufupi okay!.
Muda huo nikaanza kuhisi njaa Sasa hesabu ya mboga ilikuwa inanitosha mimi tu mgeni wangu sikumuwazia! Nikaona liwale na liwe nikaamka nikatenga sufuria ya ugali kwenye gesi huku tukipiga stori!.. lugha tuliyokuwa tukitumia kidogo ilikuwa ya kihuni fulani hivi Yani kama nipo na msela wangu!.
Stori zilichapwa utafikiri marafiki wa karne kadhaa huku kukiwa na kimziki kidogo.

Maji yalipochemka mtu mzima nikakitoa huku nikipokea matani kadhaa kwa binti kuwa nioe na nini na nini vile.. katika kupasha mboga nikaona kabisa haitoshi mzee nikachomoka na kwenda kusaka samaki wa kukaanga nilivyorudi nikamkuta mtoto anahangaika na playlist ya kusaka nyimbo! Ye alipenda lege mi zilikuwa chache tu!. Akatupia utani tena mwengine mi ndo akina marioo wa kulilia mapenzi.😂

Tukatenga pale tukala n.k

Hapo ilikuwa mida ya saa nne hivi nikamuuliza vipi huendi skani mzee si atakumind!. Alicheka tu Kisha akanijibu mzee wake na mazeri hawapo yupo sister wake tu na alimuaga kuwa anaenda kwa rafiki yake fulani hivi wakike!.

What..?? Nikaona asinitanie huyu masihara gani haya!. Akaamua atupie tena utani
"Au wifi yangu anakuja leo nini..?"
Nilicheka tu na kumjibu kuwa Hakukuwa na wifi yake yoyote!.
Tuliendelea kupiga stori huku kichwa changu kikiloli kama panga boy la bombadia,wazo la kumla likanijia lakini hofu ilinitanda kwani sikuwahi kukutana na mwanamke dizaini hii hivyo huenda hata alichoniambia hakuwa anamaanisha!.
Any step ambayo ningeichukua aidha ningeharibu ama ningepatia! Haya majibu yalifanya hata nisifokus katika stori nibaki nikiwaza ugeni huu!.

Katika playlist ikapiga bhana ile ngoma ya Bob Marley still it up!. Mtoto ikamvutia akainuka na kwenda kuongeza sauti.. kumbuka hapo sote tumekaa kwenye sofa.
Aliporudi kuketi nikamuona akiwa na hali fulani hivi ya furaha na shauku!.
Sasa katika kumbukumbu zangu nikakumbuka masela walishaniambia huyu mtoto huwa anatumia kitu cha weed japo sio kihivyo!. Nikaona isiwe tabu nikaanzia mbali kwa kumuuliza kwanini ma lasta wanapenda kutumia ile kitu!..
Haloo katika maswali yote hilo ndo swali alilonijibu kwa kina mpaka nikamuuliza
"Have you ever use it..?"
Kwa aibu alijikuta akinijibu ndio japo alisema kuwa alishaacha kitambo mi nikaendelea kumchimba zaidi na zaidi hadi akaona kabisa nafahamu kila kitu kumuhusu!!..😂

Akaamua avunje ukimya sasa kumbe hata hapo alipo alikuwa na kete moja! Akaichomoa to cut stori nilijikuta nami naonja kitu cha weed japo ilinisumbua nikikohoa hapa na pale ila kitu ilikaa kichwani akabaki ananicheka tu!.

Stimu zilivyonikaa nikaanza muuliza kuhusu mahusiano akadai kuwa alishakuwa na mtu mmoja tu wakazinguana kitambo nakukaa takribani mwaka akiwa single!.. niliona kama ananirusha stimu tu!.
Muda ulivyozidi kwenda lugha yake ikaanza kulegea fulani hivi nakuwa yakike zaidi! Nikaona asinitanie wewe kama masihara hivi nikautulisha mkono wangu kwenye paja lake!.
Akautoa!,nikaurudisha tena huku nikimkazia macho!. Mara hii aliutoa japo ilikuwa si kibishi kihivyo!.. haloo nikaona huu mchezo hawezi nishinda huyu nikamsogelea huku weed ikinipa ujasili wa maruhani mahaba..😂
Katika kumshikashika upinzani ukamuisha baada ya kumuuliza Sasa umefata nini humu..?
Ati kuvunga akajibu stori!. Muhuni nikamjibu ndo hizi!. Hapohapo nikamuwahi mdomoni na kumtundika busu zito!. Akajidai kunitoa nikajua hizi ni staki nataka!..😂

Kungumbari nikaanza kumsaula ugumu wote ukamuisha akawa mtoto wakike Sasa sio nusu me nusu ke!.. by the way her body was so sexy nje na vile nilivyotarajia!. Katika kumvua pensi yake si nikakuta kitoto kimevalia boxer inapicha ya mjani ndo nikajua hichi kichwa hakijatulia!..
Romance kadhaa zikatosha kumlainisha nikamvutia kitandani nami nikajisaula tukawa wawili uchi wa mnyama juu ya kitanda ambacho kilitupokea tayari kwa mikito ya viumbe vyenye nyegezi ya maana!..

For sure nilimmega vilivyo and her dashdash ikiwa tight kinoma huku hotness ikiimarisha utamu wake vilivyo..😜

Tulipafomu vilivyo usiku ule tukapumzika asubuhi tena tukakiamsha na miguno yake mitamu.. what I can tell you mtoto wakike ni wakike tu hata avute shurubati pipa zima au aige pigo za kiume vipi..

Mtoto aliniambia kuwa alinielewa toka zamani isipokuwa gia ya kuniingia ikampa tabu hivyo akaamua atumie njia ya kiuchokozi tu maana ye hajui zile za baby Mambo..😂
Hakupenda njia ndefu mara nimkatae ndo angeumia zaidi but she's now outside this country tumeamua kupotezeana kiana kila mmoja aendelee na mishe zake. Nimeamua ku cut stori tu but vitu vingi vilitokea baina yangu na yeye..

Still remember her sweetest lips..😊😋
Chumvini vipi Mkali wao uliingia😶
 
haha! Ndugu mi sio kibaka unaweza fikiri kaja kawa mambo hayo kumbe mtoto wa watu hana hizo! Any fucking step can harm you! Uzuri mzigo uliliwa!
Sio ukibaka ila inaonekana ata shetani alikuwa anawaogopa yan mda wote huo anatafta mbinu za kuwaingiza majaribuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom