Nikupe somo kidogo:uume wa binadamu una kazi 2 tu,1.kutolea haja ndogo,2.kufanya mapenzi.hiyo ya kwanza tuiache,ya 2 mwanaume yoyote mwenye uume unaosimama anaweza kumfikisha mwanamke kileleni bila kujali ukubwa au udogo wa uume wake,na pia mwanaume mwenye uume mkubwa anaweza kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni na yule mwenye uume mdogo anaweza.
Kufanya mapenzi na kumfikisha mwanamke kileleni kunahusisha mambo mengi Kama kumuandaa mwanamke, maneno/mazungumzo yenu kabla ya kukutana,wakati mlipokutana na wakati mnafanya mapenzi....
Kwahiyo wewe mwenye uume mdogo unatakiwa ujiamini,usiwe na woga Wala wasiwasi.
Niishie hapa hii elimu ni kubwa Sana.