Recent content by Aremuu

  1. A

    Kusoma au Kujenga kipi nitangulize?

    Kuna wakati ushauri una nafasi yake kwa Jambo flani, huenda mdau anashindwa kufanya maamuzi, japo hajasema kuw shida ni bajeti au kitu gani, Kama upo vzr vyote vinaweza kwenda ila ujenzi ni gharama kuliko masters,
  2. A

    Wanaume wa JF mna shida gani?

    Sawa, Hongereni nyie wanawake
  3. A

    Mikopo ya halmashauri

    Sio ngumu kupata, unaenda idara ya maendeleo ya Jamii Halmashauri, au unaweza kuanzia kwenye kata, then, wanakupa maeekezo, japo mikopo hiyo lazima muwe na Akaunti iliyo hai, kazi rasmi inyoweza kujizalisha na kurejesha mkopo huo, na lazma kweli muwe na sifa ya kundi la vijana kwa maana ya umri...
  4. A

    Ukiwa hauna furaha au ukitakaa kuiongeza furaha yako fanya hivi kwenye SOCIAL MEDIA hasa JF &INSTAGRAM

    Yeye akiona tu comments za kuchekesha na zenye utata ndio furaha yake, nadhani ameelez Hisia zake
  5. A

    Msaada: Ofisi za NHIF Morogoro Ifakara

    naam, ofisi zao zipo, zinapatika Bomani karibu na jengo la halmashaur ya wilaya,kilombero, karibu pia na ofis za elimu, idara ya sekondari. Ukifika uliza watakuonesha
  6. A

    kwa anaepajua vizur archbishop james..

    chuo kipo vzr, miundo mbinu ipo japo ni kichanga, kimetoa awamu mbili ya wahitimu, kipo manispaa ya songea mjini, kama unasomea u-doctor kampasi zao zipo hosptal ya peramiho nje kidogo ya mji,
  7. A

    Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

    duh, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, hata maendeleo kasi yake imechapuzwa na kukua kwa CHADEMA,viongozi wanafanya kazi kwa sababu ya kusemwa na CDM,sasa kuwa tena fake,.....mh..
  8. A

    Siipendi CHADEMA

    Saw bwana, huipendi CDM
  9. A

    Rais Kikwete safarini Ethiopia

    safari zake zina gharama kubwa sana na kutumia rasilimali nyingi sana kuliko hata faida ya MIKUTANO hiyo kwa watanzania coz sio faida za moja kwa moja, hadi tufaidike sisi zishamegwa na mikono ya wachache,' amebakisha miaka 3, inmabidi aitumie vema kupaa,"ukipata tumia ukikosa jutia"
Back
Top Bottom