Mikopo ya halmashauri

ealy little

Member
Aug 4, 2019
9
10
Habar za kazi wakuu ..naomba kujuzwa taratibu za kupata mkopo wa halmashauri kwa vijana ...Sisi tayr tuna biashara ya kuni na mwenzangu ila naskia mpk mtimie watano ...Tax identification number na lesen ya biashara vipo

Kwa waliowah pata au fuatilia naomba tujuzane
 
Nenda halmashauri utapata majibu sahihi..
4% ya pato la halmashauri ni pesa ya vijana
Hata kama wanapata elfu10 iyo 4% ni ya vijana
 
Sawa mkuu ntaenda nlitaman nipate mtu aliewah pata ili nijue inachukua mda gan maana wengi wanakatisha tamaa kuwa inachukua muda mrefu na ngumu kupata

Sio ngumu kupata, unaenda idara ya maendeleo ya Jamii Halmashauri, au unaweza kuanzia kwenye kata, then, wanakupa maeekezo, japo mikopo hiyo lazima muwe na Akaunti iliyo hai, kazi rasmi inyoweza kujizalisha na kurejesha mkopo huo, na lazma kweli muwe na sifa ya kundi la vijana kwa maana ya umri, usumbufu unategemea na Halmashauri japo kwa sasa ni lazima kutoa aslimia nne ya vijana
 
Nimeanza kufuatilia hapa kata ,inabidi tuwe kumi na tutayarishe katiba yetu ,then kikundi kisajiliwe halmashaur watembelee biashara then labda process za pesa ndo zije.Sijajuwa kama kuna 'kalenda' ukishakamilisha mipango au vipi

Ni nzuri jitahidi upate, na kwa sasa hiyo mikopo haina Riba.
 
Nimeanza kufuatilia hapa kata ,inabidi tuwe kumi na tutayarishe katiba yetu ,then kikundi kisajiliwe halmashaur watembelee biashara then labda process za pesa ndo zije.Sijajuwa kama kuna 'kalenda' ukishakamilisha mipango au vipi
Aisee hata sisi tunafatilia hizo mambo, tumeshandaa katiba tukafanya na uchaguzi wa viongozi na kuwekeana viwango vya mkopo kwa kila mmoja sasa tunasubili mkaguzi aje ajiridhishe na biashara tuliyonayo, kikundi chetu kinaitwa Isaka youth Traders
 
Back
Top Bottom