Siipendi CHADEMA

Siipendi CHADEMA

CHADEMA haifai, imewafukuza uanachama watu muhimu MTEla na Juliana ambao kwenye chama chetu ndo wamekuwa tegemeo kuliko waliokuwepo ndani ya chama kabla...

Umepigilia msumari wa moto kabisa......
 
Last edited by a moderator:
Uchaguzi ukifika mzee atapora mwanamke gani sijui naona mshumbusi anatemwa.
 
HIvi ndiyo CDM mmejipanga kuendeleza propaganda kwa wananchi ili nchinisitawalike? Eti CHADEMA wanatumia Polisi kuuwa wananchi? Wanausalama watiifu wanaua watu kwa kufuata sheria halali na wale wasiowatiifu kupeleka taarifa kwa chadema? CHADEMA wanatetea maslahi ya wanachi? Hatanmjinga anajua kabisa unachotaka kupotosha hapa mkuu, hayo yote uliyoyataka hapana shaka kabisa yanafanywa na CHADEMa Kwa tamaa zao za madaraka, mipango yao ya kutaka kuwafurahisha wafadhili wao na wala usihusishe serikali na vyombo vyake vya ulinzi, Haiwezekani manomu yanalipuka leo , hata miili haijazikwa tayari wameshapanda majukwaani na kuomba huruma ya wanachi, huu ni mpango endelefu ambao CDM wamepanga kuutumia, bahati mbaya wananchi wameshawashtukia

"Hatanmjinga, manomu, endelefu..." Is this mulugo's product or...
 
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda chadema kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.

1. Chadema imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.

Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.

Mfano ni pale chadema inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.

2. Chadema kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.

Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.

3. Chadema kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c

4. Kitendo kiovu kinachofanywa na chadema kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za chadema ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake chadema imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha ccm kutekeleza sera za chadema.

5. Chadema imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.

Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.


Mkuu
Hili bandiko lako nimetoka kapa kama vile msumemo mbele unakata nyuma unakata. tena nashindwa kujuwa kama

kati ya kuku, yai na kifaranga nani alitangulia? au inawezekanaje mtoto akapata heshima zote kutoka kwa mama

na sio baba?
hapa CCM inanichanganya zaidi
 
Mkuu
Hili bandiko lako nimetoka kapa kama vile msumemo mbele unakata nyuma unakata. tena nashindwa kujuwa kama

kati ya kuku, yai na kifaranga nani alitangulia? au inawezekanaje mtoto akapata heshima zote kutoka kwa mama

na sio baba?
hapa CCM inanichanganya zaidi
Mkuu bado itakuchanganya sana mpaka umwache uliyenaye.
 
Mimi naipenda Chadema lakini siwapendi vijana wa Bavicha kwa kunywa viroba.
 
Sio akili kubwa kwasababu kwa hali tuliyofikia mpaka hzo phd zinahujumiwa.....!
Mr dhaifu nae anaitwa Dr Jah

ukiunganisa shahada za kanisani alizopata SLAA haziwezi kufikia hata moja ya JK. Ukumnuke hata mapadre wengine wakitaka elimu zao walizopata makanisani zitambulike huwa wanajitahidi kusoma vyuo vya elimu vinavyotambulika , tuambie SLAA kasoma chuo gani kinachotambulika.
 
Kusha kucha na makucha yake. Chizi mmoja anaokota lundo lake la matakataka huko atokako kisha alileta kwenye kadamnasi ya watu, ghafra wanatokea wendawazimu wenzake nakuanza kuya gombea yale matakataka hali inayo pelekea harufu mbaya pale kwenye ile kadamnasi nawatu wenye akili kuanza kubana pua zao kukwepa harufu ile, hali inazidi kua mbaya mwisho wenye akili wanalazimika kutawa nyika nakuwaacha vichaa watupu wakiendelea kutawanya zile takataka zao. (chukua hatua)
 
Back
Top Bottom