Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

Siku hizi neno 'umati' limepata tafsiri nyingine sio ile inayofahamika! Siasa bhana!

umati maana yake dogo ni wingi wa watu zaidi ya wawili, kuwa na sifa ata kidogo kwa pale alipokuwa leo unaowaona ni umati kwa eneo hilo
 
Jamani CDM Kigoma hamna chenu huo ndio umati mkubwa? Hizi siasa za maji taka za akina Molemo hizi zinaiua CDM kabisa!

Everything in chadema is fake, Dr Slaa is fake, his PHD is also fake, his wife is fake, his belief is fake, worse enough his party is even worse!

duh, mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, hata maendeleo kasi yake imechapuzwa na kukua kwa CHADEMA,viongozi wanafanya kazi kwa sababu ya kusemwa na CDM,sasa kuwa tena fake,.....mh..
 
Tunamsubiri Singida aone Kama atapata watu na kwa taarifa amekacha kufanya Ziara Kiomboi! Nasikia anafanya wilaya zingine sio Iramba! Maana Mkumbo ni wa Huku na wanyiramba anawajua!


Atakuja usijali.... Ila usijetokwa povu tu ndugu
 
VIVA OPERESHENI TUJIDANGANYE..... kinachouma ni kuwa kina Mzee Slaa wanajikamatia posho ya 250,000 kwa siku za walipa kodi wa Tanzania kuendsha propaganda ya kujimaliza!

Ommy poleni TeamZitto. Ukweli ndio huo kuwa CHADEMA inapendwa kwa dhati na kukubalika na Watanzania wengi sana.

Kazi zenu za kuihujumu CHADEMA zimeshindwa na zitaendelea kushindwa.

Tukumbuke na ubinadamu, seriously vipi Mh. Zitto hajambo? Yu hali gani kwa sasa?
 
Kuna mtu anaitwa TASWIRA ni muongo haijapata kutokea toka kuanzishwa JF jamaa ana mabreaking news ya uongo uongo hadi anatia kinyaa!

UONGO HUO NDIYO UNAOMUWEZESHA KUISHI MJINI , huyo ana uwezo wa kuripoti ya ulaya huku akiwa CHAKECHAKE , huyo ni zaidi ya waongo unaowafahamu !
 
Kuna mtu anaitwa TASWIRA ni muongo haijapata kutokea toka kuanzishwa JF jamaa ana mabreaking news ya uongo uongo hadi anatia kinyaa!

UONGO HUO NDIYO UNAOMUWEZESHA KUISHI MJINI , huyo ana uwezo wa kuripoti ya ulaya huku akiwa CHAKECHAKE , huyo ni zaidi ya waongo unaowafahamu !
 
Back
Top Bottom