Sijui kama unajua mpira kama unajua basi hauna akili timamu vilevile ngoja nikukumbushe mambo baadhi;-
1.Saido sio mchezaji wa kwanza kufunga magori 5 kwenye mchezo mmoja.
Messi,Halaand na wengine wengi washawahi kufanya hivyo.
2.Simba ndio kilabu inayoongoza kufunga magori mengi kwenye ligi...
Hizi zote changamoto za kawaida tu sioni geni kwenye hili,,,
Mi mwaka huu nahtaji chombo moja inayojielewa niweke ndani,,,
1.Mkristu
2.Age 18-28
3.form4- university
4.awe na kazi ama hana fresh tu japo akiwa nesi au Mwalimu itafaa sana.
Bero hapa utabishana na vurya wenye akili kama kimburu..kama Chama kacheza na timu ndogo hebu mtu mmoja anijibu haya maswali systematically bila kupindisha kwa kuweka maneno mengi:
1.Vipers ni wabovu? Walimfanya nini chura kwenye siku zake na walimtoa nani wakafika kilabu bingwa makundi...
Well said,your post reminded me some of my past experiences which i dare not to forget the lessons i got, it once happened that i loved a girl and that same girl loved my friend[emoji22] but fun enough the friend I speak about didn't care the love shown by the girl i loved, to cut a long story...
Kila jambo linawezekana,unaweza kuanzia hapa;
1.Elimu
Mtafute dogo umpe psychology mpya utayofuta mindset ya kuombaomba, ajue maisha utayapata hata kwa kujituma mwenyewe.
Mpeleke sehemu wa wajuzi wa biashara utakayofikiria akale mafunzo staiki.
2.kuhusu mapenzi sijui chochote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.