Process za kufuta matokeo ya form six zikoje?

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
436
514
Kichwa hapo juu chajieleza , ninataman kujua process za NECTA kufuta matokeo ya kidato cha sita Nilisoma PCB 2020

Nataka nisome EGM kwa mwaka mmoja(Qt)

Natamani kujua gharama ni kiasi gani?

Na mchakato ukoje?

Nawasilisha!
 
Inawezekana kusoma combination nyingine bila kufuta matokeo yako ya awali as private candidate...!

Na sidhani kama Inawezekana kufuta matokeo yako ya NECTA. Sijawahi kusikia kitu kama hicho.
 
Matokeo hayafutwi ila unajisajiri as private candidate.. na ujue kwamba wastan wa private candidates upo juu kidogo
 
Inawezekana kusoma combination nyingine bila kufuta matokeo yako ya awali as private candidate...!

Na sidhani kama Inawezekana kufuta matokeo yako ya NECTA. Sijawahi kusikia kitu kama hicho.
Ooooh hiyo imekaa vzr ngoja nianze process mapema
 
Kichwa hapo juu chajieleza , ninataman kujua process za NECTA kufuta matokeo ya kidato cha sita Nilisoma PCB 2020

Nataka nisome EGM kwa mwaka mmoja(Qt)

Natamani kujua gharama ni kiasi gani?

Na mchakato ukoje?

Nawasilisha!
Usifute....

Soma tu hiyo EGM yako.....kila laheri ndugu.
 
Kichwa hapo juu chajieleza , ninataman kujua process za NECTA kufuta matokeo ya kidato cha sita Nilisoma PCB 2020

Nataka nisome EGM kwa mwaka mmoja(Qt)

Natamani kujua gharama ni kiasi gani?

Na mchakato ukoje?

Nawasilisha!
Kufuata ni kufaulu kama ulifeli.
 
Hapo unasajili Kama private Candidate kwa kutumia matokeo yako ya form four ikiwa una C tatu katika matokeo ya kidato Cha nne
 
Back
Top Bottom