Upo sahihi kabisa.mpenzi wa kweli wa liver hamtukanagi kocha wala timu.maana mchezaji anayetaka apangwe hakusajili yeye.wala hakutoa ushauri asajiliwe,wala haishi na mchezaji ajue hali yake.kikubwa kazi yetu ni kuisaport timu kwa kila aina ya matokeo
Muda wa timu kuwa chuo cha mafunzo umepita.tunataka matokeo ya haraka.chelsea au man city hawawezi kufanya timu zao vyuo.kama kuna kijana afanye jitihada kama TAA.Angalieni mpaka sasa Fabinho hajapata namba sembuse makinda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.