Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,816
aliyeandika haya au waliowahi kuyafanya hayo?Hili andishi linathibitisha zaidi kwamba Mtatiro, kama ndiye ameliandika, basi yuko frustrated!

Kwa mifano hiyo unajiona umeoga kwa kutumia sabuni ya Dettol wewe bado ni mchafu na utabaki hivyo, hakuna aliyekuuliza ila unajishuku mwenyewe.Na Julius Mtatiro
Nimeiona hoja ya ndimi mbili; kwamba zamani niliisema sana CCM, leo naitetea na najipendekeza CCM. Kwamba jana nilisimamia hiki, leo nasimamia kile.
Katika siasa hiyo ni CHANGE OF POSITION kulingana na wakati na maamuzi ya mtu au taasisi, nitawapa mifano miwili;
1. Baada ya Rais Karume Jr wa Zanzibar kushinda urais wa Zanzibar mwaka 2005, CUF ilipinga ushindi wake, ikakataa kutambua urais wake. CUF ilizunguka Zanzibar nzima ikihubiri kuwa uongozi wa CCM ni wa kidhalimu, uongozi wa Karume ni haramu na serikali ya Karume ipingwe usiku na mchana.
Baadaye CUF ilipojitafakari sana, hasa Katibu Mkuu Seif Sharif na viongozi wa Zanzibar wakaona ni muhimu kutafuta suluhu na Rais Karume ili mambo yaende.
CUF ile ile ambayo ilizunguka nchi nzima kusema Karume Jr hafai, ni mbaya na asiungwe mkono, ikaitisha mkutano Kibandamaiti kutangaza kumtambua Rais Karume kama Rais, kuitambua CCM kama chama kinachoongoza Zanzibar na na kutangaza kumuunga mkono Karume Jr.
Hiyo inaitwa CHANGE OF POSITION, CUF iliona haitaleta manufaa yoyote kwa Zanzibar ikiendelea na msimamo wa kipuuzi wa kutomtambua Karume Jr. Unaweza kuiita CUF ndimi mbili?
2. CHADEMA na viongozi wake (najua wanaongoza kunishambulia mitandaoni tangu niondoke upinzani), walifanya kazi kubwa ya kuueleza umma wa watanzania namna Lowassa alivyo mchafu na fisadi wa kutupwa. Mashabiki mmesahau?
Baada ya miaka 7 ya kumchafua Lowassa mwaka 2015 SUMMIT YA UKAWA (Viongozi wakuu; Freeman, Lipumba, Mbatia n.k) wakamleta Lowassa yuleyule kuwa mgombea Urais wa upinzani, nakumbuka kwenye kampeni za 2015 sote tuliogombea hatukuwa na option zaidi ya kumnadi Lowassa kama mgombea wa upinzani.
Halafu watu wale wale waliomtukana Lowassa kwa miaka 7 baadaye akawa mgombea wao nimewaona wanahangaika sana na Mtatiro, wanasema Mtatiro amefanya dhambi kubwa kujiunga CCM aliyokuwa anaipinga, au kumuunga mkono Rais JPM.
Wanasema Mtatiro ni Msaliti kwa kujiunga CCM. Hizi ni frustration za hali ya juu sana. Kwa sasa Mtatiro hawezi kuokoa kuzama kwa vyama vilivyojengwa kwenye misingi ya watu binafsi, vyama ambavyo mtu fulani akitoka vinakufa, vyama ambavyo vimeshindwa kwa miaka 20 kuishi yale ambayo vinayahubiri.
Julius Mtatiro acha UZWAZWA wewe ,Endelea kutumia fedha ulizoongwa za CCM acha MIPASHO,hata vitabu vya dini vinasema Mungu haweki agano na masikini mtu mwenye njaa maana masikini/mwenye njaa hubadilika(kigeugeu),umeona fedha za CUF zimepigwa pini,hauna hela ukaona ujisalimishe CCM.
Mifano yote hiyo haiwezi tumika.CUF na CHADEMA walibadili positions kwa maslahi ya vyama na taifa.Hata vitani kuna mbinu ya Retreat in order to advance au ile ya Chairman Mao One step backward Ten steps forward.Na Julius Mtatiro
Nimeiona hoja ya ndimi mbili; kwamba zamani niliisema sana CCM, leo naitetea na najipendekeza CCM. Kwamba jana nilisimamia hiki, leo nasimamia kile.
Katika siasa hiyo ni CHANGE OF POSITION kulingana na wakati na maamuzi ya mtu au taasisi, nitawapa mifano miwili;
1. Baada ya Rais Karume Jr wa Zanzibar kushinda urais wa Zanzibar mwaka 2005, CUF ilipinga ushindi wake, ikakataa kutambua urais wake. CUF ilizunguka Zanzibar nzima ikihubiri kuwa uongozi wa CCM ni wa kidhalimu, uongozi wa Karume ni haramu na serikali ya Karume ipingwe usiku na mchana.
Baadaye CUF ilipojitafakari sana, hasa Katibu Mkuu Seif Sharif na viongozi wa Zanzibar wakaona ni muhimu kutafuta suluhu na Rais Karume ili mambo yaende.
CUF ile ile ambayo ilizunguka nchi nzima kusema Karume Jr hafai, ni mbaya na asiungwe mkono, ikaitisha mkutano Kibandamaiti kutangaza kumtambua Rais Karume kama Rais, kuitambua CCM kama chama kinachoongoza Zanzibar na na kutangaza kumuunga mkono Karume Jr.
Hiyo inaitwa CHANGE OF POSITION, CUF iliona haitaleta manufaa yoyote kwa Zanzibar ikiendelea na msimamo wa kipuuzi wa kutomtambua Karume Jr. Unaweza kuiita CUF ndimi mbili?
2. CHADEMA na viongozi wake (najua wanaongoza kunishambulia mitandaoni tangu niondoke upinzani), walifanya kazi kubwa ya kuueleza umma wa watanzania namna Lowassa alivyo mchafu na fisadi wa kutupwa. Mashabiki mmesahau?
Baada ya miaka 7 ya kumchafua Lowassa mwaka 2015 SUMMIT YA UKAWA (Viongozi wakuu; Freeman, Lipumba, Mbatia n.k) wakamleta Lowassa yuleyule kuwa mgombea Urais wa upinzani, nakumbuka kwenye kampeni za 2015 sote tuliogombea hatukuwa na option zaidi ya kumnadi Lowassa kama mgombea wa upinzani.
Halafu watu wale wale waliomtukana Lowassa kwa miaka 7 baadaye akawa mgombea wao nimewaona wanahangaika sana na Mtatiro, wanasema Mtatiro amefanya dhambi kubwa kujiunga CCM aliyokuwa anaipinga, au kumuunga mkono Rais JPM.
Wanasema Mtatiro ni Msaliti kwa kujiunga CCM. Hizi ni frustration za hali ya juu sana. Kwa sasa Mtatiro hawezi kuokoa kuzama kwa vyama vilivyojengwa kwenye misingi ya watu binafsi, vyama ambavyo mtu fulani akitoka vinakufa, vyama ambavyo vimeshindwa kwa miaka 20 kuishi yale ambayo vinayahubiri.
Mtatiro sema ukweli we si ulidai account zako zilifungiwa that’s why ulihama na pia ukadai mtoto wako alitaka kutekwa ukamkimbiza Nairobi Na kwa kua account zako zimefungwa unashindwa kumlipia ada ndio ukaona uende CCM au umesahau ulichokisema wakati unaenda kwenye usaili ili uende short course marekani ?Na Julius Mtatiro
Nimeiona hoja ya ndimi mbili; kwamba zamani niliisema sana CCM, leo naitetea na najipendekeza CCM. Kwamba jana nilisimamia hiki, leo nasimamia kile.
Katika siasa hiyo ni CHANGE OF POSITION kulingana na wakati na maamuzi ya mtu au taasisi, nitawapa mifano miwili;
1. Baada ya Rais Karume Jr wa Zanzibar kushinda urais wa Zanzibar mwaka 2005, CUF ilipinga ushindi wake, ikakataa kutambua urais wake. CUF ilizunguka Zanzibar nzima ikihubiri kuwa uongozi wa CCM ni wa kidhalimu, uongozi wa Karume ni haramu na serikali ya Karume ipingwe usiku na mchana.
Baadaye CUF ilipojitafakari sana, hasa Katibu Mkuu Seif Sharif na viongozi wa Zanzibar wakaona ni muhimu kutafuta suluhu na Rais Karume ili mambo yaende.
CUF ile ile ambayo ilizunguka nchi nzima kusema Karume Jr hafai, ni mbaya na asiungwe mkono, ikaitisha mkutano Kibandamaiti kutangaza kumtambua Rais Karume kama Rais, kuitambua CCM kama chama kinachoongoza Zanzibar na na kutangaza kumuunga mkono Karume Jr.
Hiyo inaitwa CHANGE OF POSITION, CUF iliona haitaleta manufaa yoyote kwa Zanzibar ikiendelea na msimamo wa kipuuzi wa kutomtambua Karume Jr. Unaweza kuiita CUF ndimi mbili?
2. CHADEMA na viongozi wake (najua wanaongoza kunishambulia mitandaoni tangu niondoke upinzani), walifanya kazi kubwa ya kuueleza umma wa watanzania namna Lowassa alivyo mchafu na fisadi wa kutupwa. Mashabiki mmesahau?
Baada ya miaka 7 ya kumchafua Lowassa mwaka 2015 SUMMIT YA UKAWA (Viongozi wakuu; Freeman, Lipumba, Mbatia n.k) wakamleta Lowassa yuleyule kuwa mgombea Urais wa upinzani, nakumbuka kwenye kampeni za 2015 sote tuliogombea hatukuwa na option zaidi ya kumnadi Lowassa kama mgombea wa upinzani.
Halafu watu wale wale waliomtukana Lowassa kwa miaka 7 baadaye akawa mgombea wao nimewaona wanahangaika sana na Mtatiro, wanasema Mtatiro amefanya dhambi kubwa kujiunga CCM aliyokuwa anaipinga, au kumuunga mkono Rais JPM.
Wanasema Mtatiro ni Msaliti kwa kujiunga CCM. Hizi ni frustration za hali ya juu sana. Kwa sasa Mtatiro hawezi kuokoa kuzama kwa vyama vilivyojengwa kwenye misingi ya watu binafsi, vyama ambavyo mtu fulani akitoka vinakufa, vyama ambavyo vimeshindwa kwa miaka 20 kuishi yale ambayo vinayahubiri.
Mbona mwenzake kafanya hivo na kalamba teuzi ndo mambo yamfurahishayo mfalmeMwambie Mtatiro kwamba demu uliemuacha usisumbuke kumuongelea tena mbele ya demu wako mpya
Na Julius Mtatiro

Ameshafeli awaulize wenzake waliohamia upande wa Kijani walipo,hawana ushawishi tena,Lipumba,Slaa etc KWISHA kabisa.Terms and Conditions, ukihama sharti la kwanza ukiponde chama ulichotoka ili kionekane ni kibovu.
Hiyo iko kwenye contract.