Recent content by ANYITIKE JONE

  1. A

    Mke anahitajika

    Hapa naona unataka competition kitu ambacho sio lengo langu
  2. A

    Ukraine: Kambi ya Jeshi la Wanaanga wa Urusi iliyoko Jimbo la Crimea imelipuliwa

    Sina hakika swali langu ni mpaka sasa mmekomboa maeneo mangapi toka mikononi mwa Russia?
  3. A

    Mke anahitajika

    Nahitaji mke mwenye utayari au uhitaji wa ndoa. Sifa zake: Awe na umri usio punguzo 24 to 30yrs Mwenye hofu ya mungu hapa namaanisha mkristo wa dhehebu lolote. Elimu yake anagalau form four na kuendelea Kabila Mnyakyusa, Mkinga, Mhehe, Mbena, Mndali, Msukuma, na Msafwa. Mrengwa asiwe na...
  4. A

    Alijifanya kidume, nimemlaza lock up

    Hufai kuwa mke na wala yule sio kichaa kama alikutongoza na ukamuelewa maana yake anaakili timamu kuna sehem umezingua arafu unarahisisha RB haito kusaidia kitu at the end of the day atatoka tu
  5. A

    Ukraine sasa kwisha kazi na vita iko karibu kusimamishwa

    Putin anawanyoosha kweli kweli safi sana pro Russian tujipongeze
  6. A

    Wanaotoka sare kizembe na timu mbovu kama Biashara United Hawawezi michuano ya Kimataifa , Subirini Aibu

    Mbona simba kafanya vizuri kimataifa lkn anapigwa na Mbeya city na sio mara moja
  7. A

    Nina mpango wa kuoa mwishoni mwa mwaka huu ila...

    Tena usiombe ukapata mtu sahihi zaidi baada ya kuoa
  8. A

    Msaada anayejua kilimo cha njugumawe na changamoto zake

    Hujaeleweka jifunze kuandika vyema ndio uje Babari za katavi ndugu?
  9. A

    Nipo njiani naelekea ukweni kujitambulisha. Kipi cha kuzingatia?

    Dressing code sio ina kaukakasi hapana bali amezingua hapo kwenye raba toa weka kiatu tena cha kubrash itapendeza kama kitakuwa cheusi na mkanda lazima tena mkanda uwe the same na rangi ya kiatu shat sawa kabisa
  10. A

    Nilimpenda dada mtu, ila mdogo wake nimempenda zaidi

    Kwakua ulimtongoza dada mtu huyu mdogo ameisha kubali kupitia dada wala usijali
  11. A

    Ushauri kwa wadada ambao ni michepuko ya waume za watu

    Upeo mdogo mtu anauza Duka nemepewa bure afu anapaza sauti kisa luku 7000[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86] hapa ndio tunasema wanawake hawana akili kabisa
  12. A

    Fursa za Biashara Uganda

    Mafuta gani Diesel au ya kula?
  13. A

    Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia lia kuhusu hali ya maisha, nilidhani ni CHADEMA tu

    Katiba mpya itaongeza uwajibikaji kwa viongozi lkn pia itasaidia kuimarisha taasisi zetu badala ya kutegemea mtu tutategemea mfumo Jambo lingine ni kwamba tuna watu wengi wamepewa madaraka makubwa kisa ni makada wa chama fulani wakati hawana hadhi, haiba,Kariba, wala uzarendo na nchi hii hivyo...
  14. A

    Mwenza wa maisha anahitajika aje tujenge maisha

    Habari ya sikukuu ndugu zangu? Nimekuja hapa nahitaji mwenza, mm ni mwanaume umri wangu 36yrs Dini yangu mkristo Naishi Mbalizi Mbeya Kazi nimejiajiri mwenyewe Mke nimtakae umri 25yrs to 30yrs Elemu yake at least form four na kuendelea Asiwe na mtoto Dini awe mkristo au awe tayari kubadili...
Back
Top Bottom