big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 398
- 1,059
Habari wakuu,
Nimekuja kwenu kutaka ushauri kuna dada hapa mtaani kwetu aliamia ni kama miezi miwili ilipta ni mzuri kiukweli na sikuwahi kumuona dume linakuja kwake hivyo hisia zikanambia atakuwa hajaolewa na ikibidi yupo single na ni mwajiriwa huyo binti, nikaanzisha mazoea nae kimtindo tukawa tukikutana tunataniana na kusalimiana fresh kabisa, siku 1 mzee nikajitosa kutupia ndoano lakini mrembo akanijibu vizuri tu kuwa anamtu wake ila yupo mkoani na wapo serious sana na penzi lao akanionyesha hadi picha zao kwenye cm,basi nikasema poa hauenda sio ridhiki yangu.
Sasa baada ya mda kidogo yule mrembo akatembelewa na mdogo wake sasa huyo dogo mtu ndio mkali hatari ,mzuri, shape ipo na wote ni watulivu hawana mambo meng sana,sasa huyu mdogo mtu ntamuelewa zaidi na bahati nzur kuptia kusalimiana miana na dada ake bas nae tukazoeana fasta tu na hadi namba tukabadilishana kunasiku tukachat WhatsApp nikamuhuliza marital status yake akanambia yupo single, nikafurah kusikia hivyo, sasa hii pisi nimejikuta nimeielewa zaidi kuliko hata dada mtu yani huyu ndo nmempenda, sasa najiuliza je
kwa tamaduni za kitanzania, naruhusiwa kumtongoza hii pisi kali ilihali niliwahi mtongoza dada yake?
Kama dada yake kamwambia kuwa niliwahi mtongoza,alafu nikimtongoza nae itakuwaje? Sitaambulia matusi?
Naombeni ushauri wenu wakuu asanteni