Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
Baada ya muda mrefu kupita leo niko njiani naelekea ukweni kuonana na baba mkwe kwa mara ya kwanza ili kujitambulisha na kujuana nae.
Naombeni mnipe info kipi cha kuzingatia punde tu nitakapokutana nae,
Baba mkwe wangu ni Mchungaji wa kanisa flani, ni wa kuheshimika sana,
Code zangu nilizovaa leo, Chini raba nyeupe, kati suruari ya kitambaa haijafika chini sana imeishia kwenye joint ya miguu,
Juu shati jeupe la mikono mirefu nimechomekea bila mkanda.
Zawadi nilizobeba vitenge na kanga kwa ajiri ya mama mkwe, matunda na vitu kadhaa tu.
Je, ni kitu gani cha kuzingatia punde tu nitakapofika na kuonana nae,
Mazungumzo yetu na nk. Natakiwa kubehave vipi wakuu?
Nasubiri maoni yenu ili nisije kuboronga.
Cc Zero IQ.