Recent content by anthonysamanii

  1. anthonysamanii

    Kipi Bora kati ya kununua Tofali na kufyatua mwenyewe

    Uko sahihi, binafsi huwa nafyatulisha mwenyewe. Kufyatua kuna FAIDA ndugu. Mfano,Mwanza. Saruji, mfuko 1@sh. 21,000/, then mifuko yako 100= sh.2,100,000/ vibarua kwa kila mfuko wa saruji ni sh.5000/ Nafuu ni kuwa utachagua watumie mashine (manual) au watumie mkono tu. Idadi ya tofali,ratio nzuri...
  2. anthonysamanii

    Bei ya Bati imepanda mnooo! Punguzeni bei

    BEI YA BANDO 1 SIMBA DUMU NI TSH.330,000/ GSM WANA 315,000/ LAKINI NEEMA KUBWA NI KWMBA KUNA BATI ZA MGANDA(UGANDA) Zinauzwa 250,000/ zote hizo ni GAUGE 30
  3. anthonysamanii

    Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

    Ukweli mchungu, lakini ni tiba !! Binafsi nakushukuru kwa ujumbe mzito...nimejifunza makubwa!! Yamkini ni mhanga kwa kiasi chake katika tafutaji wa nani sahihi katika kuyaendeleza maisha !!! Hongera mtoa somo.
  4. anthonysamanii

    Kwa wataalamu wa literature: Naomba mnisaidie uchambuzi wa hili shairi

    Personally Some themes i see there are as follows, 1:poverty 2:Discrimination as dog is not regarded dispite of her work to master 3:mulnutrition found in the first and second stanza.......bonny thin also yawning ..means the dog is poorly fed 4.
  5. anthonysamanii

    Ushauri kuhusu Mapenzi..

    Ilikuwa iwe leo kukutana bt kapata dharura ya kumuuguza mgonjwa !! Kukutana ni kwa ana kwa ana Anadai anaweza kuja kwangu !!
  6. anthonysamanii

    Ushauri kuhusu Mapenzi..

    Duuuu hii mada inanigusa haswaa Mimi mwenyew ni mshauri mzuri tu .Lakini cha kushangaza nina kama iki mbili hivi naugulia maumivu Mtu niyempenda kwa dhati alianza kunipiga kalenda kila nikimwambia tuonane tupate maongezi nikahis labda ni ubize alionao Cha kutisha siku nne hivi nyuma nikawa...
  7. anthonysamanii

    Nifanye nini ili nife kiurahisi bila kuteseka?

    Binafsi nimefurahi kwa comments za wengi kukutia moyo wa maisha....na siyo kujiuaa Tambua tu kwenye maisha kuna milima,mabonde na tambarare Wew kwa sasa upo kwenye mabonde Chondechonde itafute tambarare ndugu Jikubali ufanye kazi yoyote ile Kuhusu mke utaoa mwingine Kuhusu ndugu ni wanadamu na...
  8. anthonysamanii

    Tujikumbushe: Africa writers series

    Mkuu kweli umetukumbusha mbali mpaka natamani kuvisoma tena Ombi nawezaje vipata vya soft copy mkuu miongoni mwa hii list !!!
  9. anthonysamanii

    Wadada piten hapa

    Havikatazwi lakini hasa kuvaa mguu mmoja ndiposa huleta picha tofauti Niliwai kuambiwa na mama mtu mzima aged 45-9 hivi kuwa hata yy huvaa lakn kwa mguu mmoja ni tafsiri tofauti kwa wanaume!!!
  10. anthonysamanii

    Fedha za nchi zinapatikana vipi?

    Habarini wanajamvi !!! Nipo kwenye tafakuri nzito juu ya chanzo au namna ambavyo nchi flani hujipatie kias chake cha fedha Inajulikana kuwa kuna nchi mahsus ambayo ndiyo hutengeneza fedha zote duniani.. Hoja. 1 nchi nyingine hutumia utaratibu gani wa kupata fedha hizo??? 2 ni kwa kiwango gani...
  11. anthonysamanii

    SOFTWARE NIPPOTEC STABILIZER

    Una bidhaa nzuri ila ww ndo hauko serious.. Maliza tangazo lako la kibiashara kabisa "bei"
  12. anthonysamanii

    Nyimbo gani nzuri za kusikiliza ukiwa na maumivu ya kuachwa?

    Nimeipenda sana hii na kujikuta nafarijika nami !!!
Back
Top Bottom