Recent content by ANKO J

  1. ANKO J

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

    Mpira ndiyo ulivyo,Kuna dk 90 nyingine ,uhakika tutashinda
  2. ANKO J

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wagonjwa kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti moja ya sababu kuyumba kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

    Huduma zikiwa Bora kwenye Kila kituo, hakuna mwanachama atakayehamahama, pia hakuna mtu anayependa kunywa dawa! NB: Huduma na watoa huduma wakiwa makini Hilo halitojitokeza mama
  3. ANKO J

    JamiiForums Tanzania Mabasi Dar yaruhusiwa kushusha vituo binafsi

    Imekaa vizuri,
  4. ANKO J

    JamiiForums Tanzania Masister duu na wanawake wa maofisini mnatembea na vinyesi

    Aise ni shda sana hawajafunzwa usafi hao hebu wambie
  5. ANKO J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lowassa alijimilikisha hisa za Vodacom na Alphatel kinyume cha sheria?

    Mtoa mada hebu tafuta data za kutosha harafu leta tena andiko lako
  6. ANKO J

    JamiiForums Tanzania Aina za majini na kazi zake

    Mmh wenye iman zao
  7. ANKO J

    JamiiForums Tanzania Kimenuka CCM: Hussein Bashe kufukuzwa uanachama

    Aisee
  8. ANKO J

    JamiiForums Tanzania Mtunza bustani ashtakiwa kwa kumtusi Magufuli, kwamba anaendesha nchi kinyume na maumbile

    Mwenye kamusi ya kiswahili sanifu, atwambie nn maana ya maumbile na je maumbile hayo ni yapi? Na yana msaidiaje mtu kuongoza?
  9. ANKO J

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Nafanya hiyo biashara, mwanzo nilianza na laini ya mtu, ila yangu niliipata baadae kwa muda kama wa miezi 6 hivi ila utaipata kwa kuwa na vitu vifuatavyo TIN Number,Leseni ya biashara,kitambulisho mf cha mpiga,na utambulisho toka serikali ya mtaa au kijiji
  10. ANKO J

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

    Mmh wenzangu wa masomo ya sanaa tukashike jembe
  11. ANKO J

    JamiiForums Tanzania #FreeMaxenceMelo: Tukibaki kimya sote tumekwisha

    Amekamatwa kwa kosa gani?mkuu
  12. ANKO J

    JamiiForums Tanzania Kimara, Dar: Basi likitokea Dodoma lagongana na Lori; magari yateketea kwa moto

    Poleni ndg mtakao poteza ndg zenu,pamoja na waliopata.maumivu
Back
Top Bottom