Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,808
- 2,911
Kufuatia kikao cha dharura muda huu cha CCM Pamoja na wqjumbe wote imekubaliana kumfukuza uwanachama wa CCM Hussein Bashe na mbunge wa Nzega muda huu baada ya kupigana kikaoni akipinga ukiukwaji wa taratibu.
Swali langu:
- Katiba ya CCM inaelekezaje jinsi ya kuwafukuza wanachama watovu wa nidhamu na wasaliti ndani ya chama?
- Je hawapewi nafasi ya kujitetea na kuitwa kuhojiwa?
Mimi naona hapa sasa demokrasia haikufuata mkondo wake kwakua hawajapewa nafasi mbele ya kamati
Shikamoo mwenyekiti mpya wa CCM ya sasa
Hakika namba wameanza kuisoma wale ccm wenyewe
CC Lizaboni