Mtunza bustani ashtakiwa kwa kumtusi Magufuli, kwamba anaendesha nchi kinyume na maumbile

Kuna watu mna laana tangu mnazaliwa,hivi kweli jitu zima na akili zake japo ni nusu linasema kinyume na maumbile sio tusu?punguzeni viroba,
Mwamke ameumbwa kuingiliwa mbele wewe unakuja unamgeuza hapo utasemaje?,sasa katiba inasema kuna uhuru wa kujieleza wewe unakataza ujaongoza kinyume na uundwaji wa katiba,si ndio kinyume na maumbile,jamani panaitaji kupata division 5 au la saba kuishia la sita,mungu wangu iv watanzaania tumelogwa,bora wale malaika walio ombwa washuke waje wazime mitandao mimi naomba washuke waje wawaague watu kama nyinyi,sasa kwa mawazo hayo mnywa viroba nani kama sio wewe
 
Karume kenge kenge weee,unaposema kinyume na maumbile mana yake ni kinyume na utaratibu,unapo muingilia mwanamke kinyume cha maumbile ina maana ni kinyume cha utaratibu,sasa tujiulize kitu kimoja tu cha kuongoza nchi kinyume cha utaratibu kama mfano ili tuone sentesi hiyo ilitumika kimakosa,

Mfano kuzuia mikutano ya kisiasa tu peke yake si kinyume na utaratibu na katiba inasemaje,unaweza ukawa baba lakini kuna mambo ukiyafanya unakaribisha mambo yasiyo faa kwa kuwa umeyatengenezea mazingira hayo.

Wewe ni Karume Kenge kweli yule aliye kataa kwenda shule matokeo yake akang'atwa na mbwa pambafu,usitumie akili za vijiweni ongeza na zako
We ndio pumbavu kweli kwa nini asiseme anaongoza kinyume na utaratibu mpaka atumie lugha ambayo si ya kiungwana
 
Unajua nyie mijutu mingine mnajifanya kama hamna akili hivi mtu kunahaja ya kufikiria kiwango cha digree kama huyo jamaa hajafanya kosa unaonaje nyumban kwakoo mwanao akakumbia baba unaongoza familia kinyume na maumbile utacheka wewe? Na utafurahi kama mwanangu hajafanya kosa hebu tuwe na heshima kwa viongoz wetu.sichukulii magufuli tu hata awe kiongoz wa mtaa ni kiongoz kukuosana kunanjia nyingi na si kutukana.acha sheria I chukue nafasi yake
Tatizo lako ni kufananisha mahusiano ya baba na mtoto kuwa yapo sawa na ya rais na waongozwa!
 
Mahakama ndio msema kweli kuhusu hiyo kauli japo sina imani sana na hizi mahakama zetu kwa kipindi hiki.!
 
Mwenye kamusi ya kiswahili sanifu, atwambie nn maana ya maumbile na je maumbile hayo ni yapi? Na yana msaidiaje mtu kuongoza?
 
Suala la Magufuli na Mama Samia kufanya mambo kinyume na maumbile lisitutoe kwenye mustakabali wa maendeleo.
 
Kuongoza familia ni tofauti kabisa na kuongoza Nchi..

Kumbe ndiyo maana Mama J sometimes hupokea kipondo cha haja na kujikuta anaibukia hospitalini!!

Jamaa hapendi na hataki "ujinga ujinga" wa kutosifu chochote akisemacho na akifanyacho!!

Yaani jamaa anayatumia kisawasawa mamlaka yake ya urais.....

Ktk mazingira haya, ipo siku atakunywa damu ya mtu hakyanani vile!!
 
Unajua nyie mijutu mingine mnajifanya kama hamna akili hivi mtu kunahaja ya kufikiria kiwango cha digree kama huyo jamaa hajafanya kosa unaonaje nyumban kwakoo mwanao akakumbia baba unaongoza familia kinyume na maumbile utacheka wewe? Na utafurahi kama mwanangu hajafanya kosa hebu tuwe na heshima kwa viongoz wetu.sichukulii magufuli tu hata awe kiongoz wa mtaa ni kiongoz kukuosana kunanjia nyingi na si kutukana.acha sheria I chukue nafasi yake
Sasa Magufuli ni babayake?magufuli ni baba yake Jesca utalinganisha baba yake na baba jesca we niaje?
 
Back
Top Bottom