Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,741
- 861,133
- Thread starter
- #281
Nilikujibu kwamba mfu hawezi kuuawa zaidi ya maramoja, au malaria hayawezi kumuingia mgonjwa wa malaria kabla hajaponaMshana Jr nilikuuliza; Je Mtu aweza kurogwa Na Mtu zaidi ya mmoja? Yaani mfano Watu watatu kila Mtu Kwa namna Na wakati waje wanaweza mroga Mtu mmoja? Au Yule wakwanza aliyeanza ndiye peke Yake uchawi wake utafanya kazi Na wa Hawa wengine utadunda?