Watendaji wakuu wa ACT Wazalendo mnachomfanyia Zitto Kabwe siyo kitu kizuri, Pia Magufuli anakosea

Kwanza icho cheo chenyewe cha kiongozi mkuu zito alijipa kiajabu ajabu tuu. Ivo usishangae watendaji wake nao wskiondoka kuajabu ajabu
 
Nani kakuambia Zitto alikuwa hafahamu jambo hilo ? Umewahi kujiuliza kwanini Zitto alisalia bungeni wakati wabunge wote wa upinzani wakitoka nje kupinga dhuluma ya Zanzibar ?
Atakuwa anazunguka mbuyu kufuatia taarifa ya zito kuwa hana taarifa ya uteuzi wa Mgwira
 
Angekuwa anakwenda kutekeleza ilani za CCM ingekuwa bora kwa kuwa ilani za vyama vyote vinalenga kuleta maisha bora kwa mwananchi, tofauti ni katika utekelezaji,kibaya zaidi ni pale ambapo atalazimika kuwa kada wa CCM ambaye atalazimika kukipigania chama hicho na mambo yake yote.
Leo hii katangaza kujiondoa uanachama wa ACT naona ni njia ya kwenda ku renew cad yake ya ccm
 
dah inasikitisha sana lakn nilichogundua pale akuna upinzan kwenye kile chama ni branch 2 ya chama tawala ata ilani zao nafkir znaweza kuwa zinafana 2
 
Back
Top Bottom