Hello mambo zenu. Naomba kuuliza, ivi ukiwa kwenye mfumo wa kuomba ajira kwenye portal katika ku apply kazi, zile barua tunazotakiwa kuandika address ya muandikiwa tunaweka ipi? Mfano hapa unaomba ajira
EMPLOYER
Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI)
Kwahyo address tunajaza ya muhimbili au...
Habari,
Nilijaribu kuomba kuhusu kufuta apple id yangu, lakini nilifanya kosa (nilitakiwa kusaini out kwanza katika Iphone yangu kabla ya kuifuta) kwa hivyo sasa kila nikijarb ku sign out naambiwa sina apple id kwa maana ya kwamba apple id yangu imeisha futwa. Lakini kwa sasa natumia simu...
Dahh asee asante sana Ontario. Kitu nilichokuwa nikitafta mda mrefu nadhan umekifanyia ufafanuz mzuri. Kwa sababu me nilipitia application ya cm inaitwa IQ Option nikaona kitu iko cha Forex Lakin ckuwa naelewa kitu chochote. Ila mpaka hapo umenifungua kwa 50%. Pia Nina maswal 1. Kuhusu kutoa...
Habar wapendwa, ku a baadh ya wadau wakiwa wanapost, mfano anatatizo anataka kusaidiwa jins ya ku root smartphone, yeye katika TOPIC TITLE anaandika *jinsi ya kuroot smartphone* alaf katika ku WRITE SHORT PARAGRAPH ndo anaandika naomba mnisaidie jinsi ya ku root smartphone. Guys ivo sio...
Mkuu hii mada iko poa. Me nilifanikisha hili. Kesho ntajitaid nielezee vizur. Kikubwa uwe umesha download hii apk inayoitwa lucky patchers katka hii link https://www.luckypatchers.com/download/ maana hii apk haipatikan Google playstore.
Ni sawa lakn hataka kama uki roaming bado shida iko palepale. Ilo tatizo na kwangu pia lipo na limeanza tangu mwez jana. Pia kuhusu 4G Ni baadh tu ya maeneo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.