Laini mpya za TTCL

Laini mpya za TTCL

habarini wana jamvi,!!! bila kupoteza muda niende kwenye maada...

Nimesajili laini mpya TTCL aina ya 4G lakini nimeset kila kitu kwenye mobile network inaandika H+ lakini baada ya dakika 4 au 5 inaandika E tena mpkaa urudi kule kwenye option ya 4G,3G,au 2G option unajaribu kucounter change 4G to 3G au 3G to 4G then back to normal 3G ndo inakubali ,lakini baada ya dk 5 inarudi tena kwenye E....how do I do now...?? make daaaah...halafu sasa cha kushangaza tena inaandika kialama cha R juu ya network...yan baada ya kuandika E inajigeuza tena inaandika R kubwa juu yake....naomba mnieleweshe nafanyaje ili niiset vizuri kwenye hii simu yangu aina ya Nokia 7 ?? ..it's urgent jamani , so that I wana use my Night park bundles right now.....!!

Kawaida signal selection generation za simu inategemea na coverage...km eneo ulipo kuna 2g basi utaona Edge(E),km ni 3G au 4G itakuonyesha kwakua upo unatembea hivyo signal channels nazo zinahama pia.hivyo either eneo ulipo kuna less 4G coverage kuliko 3G and 2g.
 
Bei gan bro hzo lain
 
habarini wana jamvi,!!! bila kupoteza muda niende kwenye maada...

Nimesajili laini mpya TTCL aina ya 4G lakini nimeset kila kitu kwenye mobile network inaandika H+ lakini baada ya dakika 4 au 5 inaandika E tena mpkaa urudi kule kwenye option ya 4G,3G,au 2G option unajaribu kucounter change 4G to 3G au 3G to 4G then back to normal 3G ndo inakubali ,lakini baada ya dk 5 inarudi tena kwenye E....how do I do now...?? make daaaah...halafu sasa cha kushangaza tena inaandika kialama cha R juu ya network...yan baada ya kuandika E inajigeuza tena inaandika R kubwa juu yake....naomba mnieleweshe nafanyaje ili niiset vizuri kwenye hii simu yangu aina ya Nokia 7 ?? ..it's urgent jamani , so that I wana use my Night park bundles right now.....!!
Rudi nyumbani kumenoga
 
Mbona Niko home hata hakujanoga
Kama umesoma vizuri alichopost mtoa mada na hicho kimsemo chao nilichopost, ulipaswa uelewe nini nilichomaanisha. Kama umeshindwa kuelewa kitu kidogo namna hiyo samahani ndugu yangu nahisi Mimi na wewe tupo kwenye wavelength tofauti.
 
Hii ni hatari..weka mbali na watoto!
IMG-20180805-WA0007.jpg
 
inaonyesha hapo ulipo TTCL haikamati vizuri sasa chakufanya washa hiyo roaming speed itakuwa poa kama tigo hapo ulipo inakamata
maana ttcl wanaroaming kwenye mtandao wa tigo hapa nilipo Ttcl haikamati ila na roaming na net ina speed
well said mkuu...
 
Nnachojua mim ni kwamba ttcl bado hawajasambaa sana network yao mfano 4G wanaipata watu wa dar es salaam ila ukinunua kwenye mikoa mingine mfano kusini kwetu njombe huku unakuta hawana base stations za gsm so unaipata ttcl sometimes kupitia minara ya tigo ndomana inatokea R which means unatakiwa ku enable roaming kwenye simu yako
Sio kweli mkuu 4G iko karibia mikoa yote Arusha, moshi, kahama, shinyanga, bukombe na kwingineko Tanzania. Kuna baadhi ya maeneo hawapati 4G hasa nje sana ya mji na vijijini. Ukisema 4G iko dar pekee unadanganya watu.
NO RESEARCH NO RIGHT TO SPE
AK
 
Back
Top Bottom