Jinsi ya kuzuia matangazo kwenye simu

Jinsi ya kuzuia matangazo kwenye simu

Kuna apps ulidownload 'contains ads'. Uninstall hizo apps na mchezo utakuwa umeisha
 
Download app manager kwenye playstore hii inakuruhusu kuziona hidden installed app ambazo Ndo adware kwa lugha nyepesi virus wa matangazo dhen angalia app yeyote ile ambayo ujawahi install futa then your problem will be solved
I have the same problem inakera sana
 
Habarini za jioni wapendwa wana JF nina shida kwenye simu yangu kila nikianza kuitumia kuna mda inastak halafu linakuja tangazo mara la TALA au BRANCH saa nyingine tangazo la magari hivyo naomba mwenye msaada jinsi yakuzuia matangazo hayo anisaidie tafadhali au kama kuna app yakuzuia mnisaidie..

Natanguliza shukurani wakuu
Mkuu hii mada iko poa. Me nilifanikisha hili. Kesho ntajitaid nielezee vizur. Kikubwa uwe umesha download hii apk inayoitwa lucky patchers katka hii link https://www.luckypatchers.com/download/ maana hii apk haipatikan Google playstore.
 
Mi nshazoea hali hiyo nimeona hamna jinsi app naitaka na app hiyo hiyo ndo inaleta hizo matagazo.No way ukitaka kula uliwe
 
Nadhan app nying tu mfano ubber inshort beauty camera na nyingine yaan app za mautundu mautundu tu
 
Nilidhani utanipa huyoo mbinu Kimbe n swali but 2waskilize wadau Wanasemaje
 
S7
Kila pahala yanayokea
-Nenda setting kisha security kisha device administrator futa kila kitu acha device manager tu.
-nenda setting kisha apps toa app zote usizozijua, jaribu kuangalia juu kabisa ama chini kabisa ukiona app haina jina itoe.
 
Back
Top Bottom