Recent content by Ang'ino

  1. A

    Kuna ndoa hapa kweli Ke(BACHELOR OF LAWS), Me(certificate)...

    Coral nimependa ushauri wako:lock1:
  2. A

    Prime minister wa Thailand and Obama flirting

    Cjakuelewa mkuu kusema ana damu ya kijaluo una maana gani?
  3. A

    Usafi ni muhimu sana katika mapenzi.

    Kaaaaazzzzzzzzz kweli kweli
  4. A

    Nilijiunga CHADEMA nikiwa chuo kikuu ningali nimejitambua, siyo akili ya under 18!

    Uaminifu wa binadamu kwa taasisi iliyomwezesha/inayomwezesha hautokani na umri wake katika taasisi husika. Lini alijiunga nayo rasmi au lini alipata 'kadi' ya uanachama wa chama/taasisi husika. Kama ni mpuuzi ni mpuuzi tu hata kama una degree hadi zinamwagika.By the way BUSARA haina chuo. :bange:
  5. A

    Askofu na Sheikh Waapa,Kwaajili ya Zitto Tutapiga Goti na Kufunga Kwa Nguvu Zote

    Binafsi sijaona tatizo la Askofu au Sheikh kumtetea Zito.Mwandishi kaandika vyema kuwa " tutamwomba mungu" ni tofauti kabisa na Mungu.tofauti ni ndogo sana lakini ina maana kubwa.Kila la kheri watumishi wa mungu.Naamini Mungu mwenyewe anajua mwisho kabla ya mwanzo. mungu ye anajua tu mwanzo.:lock1:
  6. A

    Kurudi kwa Lowassa?

    Niliwahi sikia tetesi kuwa kiongozi yeyote aliyefikia ngazi ya waziri mkuu analipwa/tunzwa/wezeshwa hadi kufa kwake! Haijalishi ametumikia nafasi hiyo kwa muda gani.Je, ni KWELI? Kama ni kweli naomba kwa anaejua gharama za matunzo kwa mwezi anijuze hata kama haitakuwa sahihi kwa 100% .Pia naomba...
  7. A

    Mazishi ya Mabina-Ijumaa

    Hama kweli dunia ina mambo!!!! Hivi hata wale vijana wa jeshi la kijani walishindwa kupigania uhai wa regional chief commander? Inabidi Kamanda Mkuu wa Jeshi la Kijani ajiuzulu ili kupisha uchunguzi,siamini kama mtu mkubwa kama huyu anaweza uawa na waponda kokoto wasio hata na elimu/ujuzi wa...
  8. A

    Kwa anayejua vyema njia ya haraka ya kujaza form ya ku appeal LOAN BOARD

    Ahsante,wote mlioweka mawasiliano yenu,nimehangaika kiasi cha kutosha,leo nimeenda kutafuta msaada kwa Loan Officer wa chuoni kwangu lakini hakuwa na nafasi,awali nilifikiri kwa vile ilikuwa weekend,lakini nimegundua tatizo ni zaidi ya Weekend,ni usiku sasa kwa kudra za Maulana kesho...
  9. A

    Tujikumbushe matukio ya kwenye kitabu cha "is it possible?"

    Ole Saaya, Ole Sululu, Henry Lerionka
  10. A

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Nauliza wadau kabla ya kutoa pole kwa familia ya Marehemu. Naomba mwenye majibu anisaidie. 1. Kwani alishaiona hukumu ya Mahakama ikimpa ushindi dhidi ya wananchi? 2.Kama ni NDIYO/HAPANA. Ametoa wapi jeuri ya kwenda kupanda miti na kuanza kuweka msingi ile hali ni mtu mzima na akili zake...
  11. A

    Sijapenda kabisa ALJAZEERA walichomfanyia JK katika mazishi ya Mandela

    Naomba kujua kama General P.Kagame na Kenyatta Jr kama pia wamepata fursa ya angalau kusalimia waombolezaji kwa Madiba.
  12. A

    Siasa za tanzania

    Nafikiri tatizo letu ni mazoea ya 'cheap politics'
  13. A

    Kwa anayejua vyema njia ya haraka ya kujaza form ya ku appeal LOAN BOARD

    Nisubiri vp mwaka ujao wakati maombi yanaendelea kupokelewa na mwisho ni 31/12/2013 ? Kojoa ulale kama huna msaada
  14. A

    Kwa anayejua vyema njia ya haraka ya kujaza form ya ku appeal LOAN BOARD

    Nimejaribu kujaza upya form ya kukata rufaa maombi ya mkopo-HESLB,ajabu personal information zinakuja lakini sipati 'option' ya kuniruhusu kujaza maelezo mengine kama ilivyoelekezwa ktk tangazo la Bodi. Kwa yeyote mwenye uzoefu tafadhali msaada wa haraka
Back
Top Bottom