Tujikumbushe matukio ya kwenye kitabu cha "is it possible?"

Tujikumbushe matukio ya kwenye kitabu cha "is it possible?"

Jaman nimemkumbuka madam Msela FORODHANI SEC,
hata mi namkumbuka mwalimu wangu wa kingereza kwa jina aliitwa Mwalimu Kataga, sijui yuko wapi huyu jembe...alikuwa akifundisha usipoelewa basi we ni kiazi! Hii ni kwa wale waanzilishi wa sekondari ya
Bogwe kule Kasulu Kigoma!
 
Nakumbuka lerioka alipokuwa akimwambia mwanaye " my beat is bitter like the fruit of osokoni tree"

ndugu, aliesema maneno hayo ni kariankei ole sururu, babaye relionka. kisa kilichonisikitisha ni cha pello kuwatelekeza relionka na lekakeny baada ya the later kugongwa na nyoka msituni. baada ya kuokolewa na jamaa waliokua wamatoka arusini hadi kijijini, pello akapata wivu, akataka kumwua lelionka,alichokipa pello kutoka kwa wamakijiji, hatakisahau
 
Kitabu kimefutwa mwaka 2008 ,, kuna kina olesaidimu ,

oooh ghosh, what a pity...wamekifuta? hakika kizazi hiki kitakuwa kimekosa mahudhui matamu sanakutoka katika kitabu hiki,tuliobahatika kukisoma tuna mengi ya kujikumbusha.
 
ndugu, aliesema maneno hayo ni kariankei ole sururu, babaye relionka. kisa kilichonisikitisha ni cha pello kuwatelekeza relionka na lekakeny baada ya the later kugongwa na nyoka msituni. baada ya kuokolewa na jamaa waliokua wamatoka arusini hadi kijijini, pello akapata wivu, akataka kumwua lelionka,alichokipa pello kutoka kwa wamakijiji, hatakisahau

hakika mkuu uko deep na habari za kitabu hiki, kwani wanikumbusha hadi yule mkuu wa shule ya kina relionka alivyokuwa mtu wa kujali,
 
hata mi namkumbuka mwalimu wangu wa kingereza kwa jina aliitwa Mwalimu Kataga, sijui yuko wapi huyu jembe...alikuwa akifundisha usipoelewa basi we ni kiazi! Hii ni kwa wale waanzilishi wa sekondari ya
Bogwe kule Kasulu Kigoma!

ahahaha...ticha alikuwa nondo sana kiasi kwamba usipoelewa inabidi ukafanyiwe maombi. ashukuriwe ticha kataga kwa kukitendea haki kitabu hiki.
 
Nakumbuka lerioka alipokuwa akimwambia mwanaye " my beat is bitter like the fruit of osokoni tree"

ninapenda "osokoni tree" ilirudushwe shuleni ili kuokoa hiki kizazi cha ubongo wa fleva.
 
oooh ghosh, what a pity...wamekifuta? hakika kizazi hiki kitakuwa kimekosa mahudhui matamu sanakutoka katika kitabu hiki,tuliobahatika kukisoma tuna mengi ya kujikumbusha.

Unakumbuka Lerionka alivyotandikwa stiki na Lekakeny... Unamkumbuka mbabe Pero...
 
Ilikuwa miaka ipi hiyo mkuu? maana inaonekana vichwa vyenu mlipokuwa la pili tu mliweza kukimudu .

Huyu jamaa asituuze bhana, Hata Kalulu the Hare" , "Hawa the bus driver na Mabala The farmer havisomwi STD TWO, Ndo iwe Is It Possible !??
 
Listen u boys my clan is bitter like a tree of osokonoi nakumbuka mbali sana.......
 
Mie nakumbuka tulitengeneza maelezo yafuatayo yakijumuisha vitabu kadhaa...
Is it possible for an An African child to cross the liver between the great pond while things are falling apart...?
No longer at easy.

kuna hii pia nilitengeneza.
Is It Possible Meeting in The Dark with Three Suitors And Things Falling Apart In New Life In Kyerefaso With Death Factory In The Beggining?
 
Nakumbuka the first time Lerionka kupanda gari,lori lilipopigwa start dogo alitaka kujinyea!
 
Back
Top Bottom