Usafi ni muhimu sana katika mapenzi.

Kumbe ukiwa na kuch za bandia hamtumii maji kujisafisha,aliahirisha mwenzako

ngoja wawekaji waje me huwa situmiii..... am natural kabisa aiseee huwa me nikikuta mdada kaweka hayo makitu akipika hata saluni huwa sipendi anihudumie kabisa
 
Hahahahahahaahahaaaaaaa eti harufu ya kinyesi uwiiiii, nimecheka mpaka basi aise!
 
wapo mademu wengine baada ya tukio kama hakuna airfreshner humo ndani utasema ni duka la samaki wabichi
 
Back
Top Bottom