Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,976
- 2,175
...fahari ya macho haifirisi duka,sindio hivyo eeehMichelle aache wivu; Kutazama is kununua!
View attachment 129332
View attachment 129336
Thailand's PM Yingluck Shinawatra is cute and very very beautiful
View attachment 129304
Ila bibie katulia...
Kwenye hii picha wamedisplay fully tabia za kiafrika.
Ni kama vile Obama anamwambia Michelle "we endelea kununa, utakula jeuri yako."
mjaluo kadata kweli kweli!!
kazi ipo hapa mshindi lazima apatikane tu,kula kwa tindo kulala kwa greda lol!
Hata mimi ningedata!
Ila Obama ana wakati mgumu sana aisee. Unajua women are naturally attracted to Power, sasa mshkaji power anayo na swag utafikiri jay na kanye combined! Lazima wanawake wawe attracted!!
Jamani ningewagonga mimi e uuuuuwwi!! Tungekubaliana tu kama will na jada smith walivokubaliana.
Michelle na yeye hampendi mumewe kwa dhati, unajua kuna mda demu inabidi aseme ah husband hapo piga aisee ila mara moja tu!
habari ni za kweli amemhama na anakaa humo jumba jeupe ila vyumba tofauti, isitoshe ile nyumba yake michelle ya chicago anamtimua obama na ameahidi kupata hela nyingi sana kama wata divorce
View attachment 129332
View attachment 129336
Thailand's PM Yingluck Shinawatra is cute and very very beautiful
Hata mimi ningedata!
Ila Obama ana wakati mgumu sana aisee. Unajua women are naturally attracted to Power, sasa mshkaji power anayo na swag utafikiri jay na kanye combined! Lazima wanawake wawe attracted!!
Jamani ningewagonga mimi e uuuuuwwi!! Tungekubaliana tu kama will na jada smith walivokubaliana.
Michelle na yeye hampendi mumewe kwa dhati, unajua kuna mda demu inabidi aseme ah husband hapo piga aisee ila mara moja tu!
Huyo Michelle ana yake tu, mbona picha za kawaida tu!