Recent content by Angel Nylon

  1. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo nyoka mzuri zaidi duniani.

    Hawa wanyama wenye sumu huwa naskia the more colorful they are ndio wanakuwa na sumu kali zaidi. Ila kwa mimi nimegoma kushawishika kama nyoka ati nao ni wazuri
  2. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

    😂😂😂😂😂😂
  3. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo zina faida/msaada sana ki Afya

    Na nyumba ndogo nae ukisema umuoe umuweke ndani, anabadilika. Kauli mbovu, dharau, jeuri. Hivi itakuwa shida ni mwanamke au mwanamme the way anavyom treat mke!!!? Nashindwa kuelewa
  4. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

    Inawezekana una upungufu wa madini mwilini. Kapime Au muulize hata chat upungufu wa madini gani huwa unasababisha hair fall. Na supplements gani zinafaa
  5. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania GPA ya 3.0 anaweza kua shortlisted katika Kazi za serikalini?

    It's not what you know, it's who you know
  6. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania Hili lilikuwa kama swali kuhusu pisi tano nilizofanikiwa kuona hata picha tu

    Tengua kauli yako. Me sijahusu uarabu. Au kwa kuwa mweupe 😥
  7. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania Wale wadudu wanaowaka taa

    No more maporiz nowadays Mapori yt yamefyekwa kupisha ujenzi, kupendezesha mji. Me mwenyewe nimemiss kuwaona, miaka mingi sijawaona
  8. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania Tuambie majina yako ya utani tukujue wewe ni wa kishua au mtoto wa kitaa

    Una balaa, kwa hio Tyson au Mandonga!!!
  9. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania Tuambie majina yako ya utani tukujue wewe ni wa kishua au mtoto wa kitaa

    Ehee, umekaa kidodo dodo, halafu white
  10. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania Wachungaji KKT washtushwa uchafu wa Vyoo vya Chuo Kikuu UDOM

    Sehemu km vyuo pamoja na kuwepo na uongozi lkn inatakiwa pia kuwepo na inspectors wataokwenda kukagua masuala ya usafi hata mara 2 kwa mwaka. Ni Sehemu yenye kukaa/kuishi watu wengi kwa pamoja, hivyo suala la afya lazima lipewe kipaumbele. Na pia elimu haiishi kujifunza darasani tu, mazingira...
  11. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania Tuambie majina yako ya utani tukujue wewe ni wa kishua au mtoto wa kitaa

    Itakuwa kibonge wewe 🤣🤣🤣🙌
  12. Angel Nylon

    JamiiForums Tanzania Sio lazima kuoga kila siku.

    Labda ana vinasaba vya vampire 😅
Back
Top Bottom