Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,309
- 4,344
Mkuu una Nini nami?😂Sijawahi vuka kilo 58. Nifanyaje ninenepe aisee, nikinenepa nanenepa mashavu tu.
Bonge Lily Tony msaada please
View attachment 3650216
Mkuu una Nini nami?😂Sijawahi vuka kilo 58. Nifanyaje ninenepe aisee, nikinenepa nanenepa mashavu tu.
Bonge Lily Tony msaada please
View attachment 3650216
Yaani!!! Hivi inakuwa ni kitu gani? Ndio hormones ama!?Ilaa
Nimekaa nikakumbuka zamani kidogo,. Kipindi ambacho hata ule kitu gani ( haijalishi ni wanga au protini ) Kilo zangu hazijawahi kuvuka 50,. Yaani zinacheza kwenye 48kg zikizidi sana 52kg🤗🤗
Sikuizi napambana walau nipungue nifike Tu 70kg (ndio imekuwa my dream weight 🥺🥺).. Yaani nacheza kwenye 86, 87 nikizubaa kidogo Tu 90 hii Hapa 😩😩
Kuna kipindi nilijipangia ratiba nzuri Tu nikawa nafanya mazoezi kila siku, baadhi ya vyakula nikaacha na fasting siku2 kila wiki,. Ila ukipima unakuta ndio Kwanza umeongezeka kila Mbili au tatu badala ya kupungua... I gave up
Kuna nguo zangu nilikua navaa zamani saizi naziangalia Tu nabaki kutikisa kichwa kwa huzuni,.
Watu sasa wakianza kukwambia "umenenepaaaa" hata kujipost nowadays naogopa ikibidi sana napost pictures za zamani kwasabu watu lazima wanotice and I can't take it as a compliment ðŸ˜ðŸ˜
🙌🙌🙌
Usiombe kuongezeka, utaliaaSijawahi vuka 55kg nawish 70kg ni nzuri zaidi
Hahahaha kwann binafsi naona nina genes za kutokuwa na nyama nyingi nakula km mchwa mpk watu wanashangaaUsiombe kuongezeka, utaliaa
11Sijawahi vuka kilo 58. Nifanyaje ninenepe aisee, nikinenepa nanenepa mashavu tu.
Bonge Lily Tony msaada please
View attachment 3650216
Why asking??11
Eleven.
De Gunner ni id zako?
Baada ya kuona hii mada nikakumbuka uzi wako. Nipe mrejesho tafadhali hali ipoje?Mkuu una Nini nami?😂
Nataka kuziunganishaWhy asking??
Id nyingiJuzi chats za pm za elevenn zikawa kwenye pm ya da'vinci😂
Hadi mods wanawachanganya hawa watu wawili
Inaonekana mm ninaujinga kama wa huyo dogo eti??Nataka kuziunganisha
Achana na unene, sio dili kabisaSijawahi vuka kilo 58. Nifanyaje ninenepe aisee, nikinenepa nanenepa mashavu tu.
Bonge Lily Tony msaada please
View attachment 3650216
Eeh nilisoma wee nikabaki nacheka kama mazuri. Afu hazikia zake pekee na za wengine wakitongoza naww ukiwemo.Kwahiyo ulipitia kwanza chats ukakusanya habari ulivyoridhika ndo ukashtaki kwa mods au?
HapanaInaonekana mm ninaujinga kama wa huyo dogo eti??
Anatongozwaje yule si dume?Eeh nilisoma wee nikabaki nacheka kama mazuri. Afu hazikia zake pekee na za wengine wakitongoza naww ukiwemo.
Sema dogo aliniwashia moto pm😂