cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,654
- 188,866
[emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wa simba mambo ya Yanga hayawahusu. Na hakuna mahali mliombwa ushauri.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mashabiki wa simba mambo ya Yanga hayawahusu. Na hakuna mahali mliombwa ushauri.
YuleSi mmejionea wenyewe
Yaani mmempa authority kama vile yeye ni Mungu wenu,
Sasa yeye ndo kawa kocha
Ndo maana mmefungwa na mpira mmechezewa
Na ninyi muache kutuongelea na msanii wetuMashabiki wa simba mambo ya Yanga hayawahusu. Na hakuna mahali mliombwa ushauri.
MpechempecheNiliwaambia kuwa kuliko kumsajili Pete Shalulile ni bora mumsajili hata Pete Magoti hamkunisikia.
Nashindwa kuwaelewaNashindwa kuwaelewaView attachment 3647401
Osimhen Ibrahim Doumbia! 😀Na ninyi muache kutuongelea na msanii wetu
Hata mm Nashindwa kuwaelewa😂Nashindwa kuwaelewaView attachment 3647420
Endelea kuotaHakukuwa na coordination tulieni tarehe 12 mle mkono tena
Sasa hizi ni hasira zenyewe jamani jamani kupigana sio vizuriMashabiki wa simba mambo ya Yanga hayawahusu. Na hakuna mahali mliombwa ushauri.
Mpira hautaki kuongea kwa hisia zako hauna fact za kumkataa Shalulile na pia hata hujui history yake umekula maharage yako unaamua kuanzisha uzi..Kwenda zako kama unajua si ungekuwa kocha