Recent content by andredee123

  1. andredee123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wana jf ivi unawezaje kuishi na mwanamke mwenye ujuaji, mwenye mdomo na muongeaji mwenye maneno ya karaha

    Mlale vizuri, hali itakuwa shwari niamini mm ukimpa haki yake nyumba inakuwa na amani
  2. andredee123

    JamiiForums Tanzania Tupia broken english yako hapa

    The pupils are plural and the food is singular Wanafunzi ni wengi na chakula ni kidogo
  3. andredee123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Some lemonade for you madame!

    Ebu tuma tena jina lako la fb au insta tuwe intouch, hii story ni kiboko. Very very creative, nimekupenda bure, hongera sana
  4. andredee123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Juko Mushidi mbona yuko kimya sana?

    hivi kwanza mwanjali amepona? Maana atleast partnership yake na banda ni nzuri, lufunga ni mzuri ila kwa mechi ya jmosi kama mwanjali kapona aanze na banda
  5. andredee123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    serikali ya viwanda
  6. andredee123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    1: the night of 2: narcos 3: notorious 4: Atlanta 5: designated survivors 6: Quantico's 7: strange things 8: blindspot 9: atlanta 10: insecured
  7. andredee123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mkuu uko vizuri, hii haina siasa yan uki type jina tu zunatoea fastaaa
  8. andredee123

    JamiiForums Tanzania Mchepuko kupiga kelele kero kwa majirani

    Nyoooooo [\colorred\]
  9. andredee123

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    [Color red] kesho akienda polisi itakuwaje? Maana amesema hawezi kusubiri watu 65 kwann yeye hana chaku fanya
  10. andredee123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AFCON: Ghana wameshinda tu kwa mbeleko ya refaree.

    Cha kuumiza ni dakika chache kabla ya Ghana kupewa penati Congo walinyimwa penati kama ile
  11. andredee123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NANI ANATISHA: ADELE VS LANA DEL REY VS PALOMA FAITH ?

    Mimi ni mpenzi wa mziki sana, so huwa naufuatulia kwa karibu mkuu. Kwangu adele she is the best, hapo umeweka nyimbo za adele za album iliyopita na hii ya sasa yenye hello, jaribu kusikiliza hizi nyimbo, send my love, one & only. Halafu pia jaribu kuangalia hello ilikaa namba moja kwenye...
  12. andredee123

    JamiiForums Tanzania Try this riddle if you have a great IQ

  13. andredee123

    JamiiForums Tanzania Riddle, riddle

  14. andredee123

    JamiiForums Tanzania Kwa lugha yenu mnaitaje hii

    Nyangusweswe
Back
Top Bottom