Mchepuko kupiga kelele kero kwa majirani

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Wadau mwenye nyumba wangu kaweka tangazo eti marufuku mtu kupiga makelele pindi wawapo sita kwa sita jamanii huu ni uonevu wa Hali ya juu
c7961c769f32aa1a7f45c82988db977f.jpg
 
Kwahiyo mwenye nyumba wako anakuita wewe mteja?
Na anasema by utawala?

Hii picha ilitrend whatsapp mwaka jana.

Mods Uzi uende jukwaa la jokes
 
Kwahiyo mwenye nyumba wako anakuita wewe mteja?
Na anasema by utawala?

Hii picha ilitrend whatsapp mwaka jana.

Mods Uzi uende jukwaa la jokes
Mkuu.......
Punguza kukosoa sana watu na kufuatilia watu, posti nyingi za wana jf unawakosoa vibaya, na kwa kejeli. Acha kabisa mkuu. Badilika.
 
Mkuu.......
Punguza kukosoa sana watu na kufuatilia watu, posti nyingi za wana jf unawakosoa vibaya, na kwa kejeli. Acha kabisa mkuu. Badilika.
Duh mwanangu wa uchagani upo?

Sasa hapo kejeli iko wapi mzazi?
 
Mchepukoo anatak kula ela yako kilahic mnyime ela uone kama atapiga kelele ivooo itakiw kimya tena anakwambia bby nimechoka sanaa leoo
 
Back
Top Bottom