Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Huna akili wewe, au hujui nini maana ya mwanamke. Sasa tulia hapo hapo nkifafanulie, Mungu alimuumba Adamu na Hawa, akawaambie enendeni mkazaane na kuijaza dunia. Sasa mwanamke ni mtu teyote mwenye matiti yayokuwa makubwa, anaekojoa kwa kuchuchumaa, anaeva magauni, sketi, kanga na vitenge. La mwisho mwenye sehemu ya kike kama kiungo cha uzazi, mjaa laana wewe. Kwahiyo aliebeba mimba yako ni wa kutoka Rwanda au? Sijui hujui kutofautisha urembo au uzuri na mwanamke bichwa lako. Haya njoo tena, naenda kuchimba mtaro wa maji taka narudi.
 
Mbona wa kawaida sana. Hapa TZ wapo wa aina hiyo na wakali zaidi. Inategemea upo eneo gani la nchi.

Ukienda Ngara. Tabora. Singida. Dodoma. Manyara. Arumeru. Tanga. Pemba. Unguja na Dar. Wapo wenye mvuto huo.

Labda kama unawalinganisha hao wanyarwanda na wajaluo au wanyakyusa hapo utakuwa sahihi.
Basi sawa, Mtoa mada kawasifia wanawake wa kinyarwanda mimi nikaweka uthibitisho wa picha, sasa wewe sifia wa kibongo nikumiminishie Mababiz wakare wa kibongo live na mubashara you know.
 
Nadhani mtoa mada amekurupuka baada ya kupagawa na uzuri wa wasichana au wanawake wa rwanda lakini wana madhara makubwa sana. Tuulize tunaowajua. Wanawake wa Rwanda sio wa kuoa ni wa kustarehe nao na kuwaacha. Lakini kwa kuwa umepagawa na uzuri nenda kaoe kisha kitakachokukuta utakuja kutuhadithia hapa... kila la heri mkuu.
 
Inategemea kwa sie tunaopenda Neema za Allah tukafuate nini huko? Nyie mnaotaka " English figure " na models nendeni mtuache na kina mwajuma huku bongo.
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Wee wa ajabu sana watusi huwajui vema kwanza ukimuoa wewe utazaa naye watoto ila lazima aje kuzaa na mtusi mwenzake tu. Pia kwa wife material tz bado tuko vizuri sana hizo figure unazotaka hata wazawa tz wengine wanazo e.g wahaya, warangi and others. Nakushauri pia heshimu wanawake huna lugha ya adabu.
 
1490349974724.jpg
 
Wa nyanda za juu wapoje mkuu. Kapicha Tafadhali.
Wanawake wa nyanda za juu kusini wengi wao siyo wazuri wa sura,mtu ambaye amekaa huku ataniunga mkono,wazuri niwachache sana tofauti na Manyara,kule ni hatari sana,kuanzia nywele,rangi,maumbo n.k,tatizo lao wengi hawana lugha laini kwa wanaume,hawajui kubembeleza kwa maneno matamu,ila niwazuri sana,hilo tatizo litakua nikwasababu ya lugha,wengine kule wanashida yakutumia kiswahili vizuri,ila niwazuri sana.
 
Wanawake wa nyanda za juu kusini wengi wao siyo wazuri wa sura,mtu ambaye amekaa huku ataniunga mkono,wazuri niwachache sana tofauti na Manyara,kule ni hatari sana,kuanzia nywele,rangi,maumbo n.k,tatizo lao wengi hawana lugha laini kwa wanaume,hawajui kubembeleza kwa maneno matamu,ila niwazuri sana,hilo tatizo litakua nikwasababu ya lugha,wengine kule wanashida yakutumia kiswahili vizuri,ila niwazuri sana.
asante kwa msifa kedekede.
 
Back
Top Bottom