Kwa nini watu wengi tunasilika ya kuto-akcnowledge failures zetu - na mara nying tunasukumia wengine. Dhambi ya Adamu na Eve inatuumiza sana. Ni nyoka ndiye kanidanganya (Eve) ; ni huyu mwanamke ndiye kanipa tunda(Adam).
Sasa JK kashindwa uongozi- anasema eti sababu yeye ni mslimu ( wakati...
"Tukiziunganisha shule zetu kwenye mkongo wa taifa ambao mpaka kufikia Juni mwaka huu utakuwa umekamilika"
Ndugu Spika Rais wa nchi anaposema uongo kwa wananchi kanuni inasemaje; leo ni mwezi wa tatu imebakia miezi 3 shule zote zitakuwa kwenye mkongo wa taifa- mkongo wenyewe huko wapi hadi...
Rafiki Filipo: Bajeti iko katika shilingi and deni ni katika dola; wajuku na wajuku watalipa lini hilo deni na tumefikaje hapo kwa mambo yapi? mafisadi wamekula zote na walipaji eti watanzania wote!
Mawazo mgando ya serikali ya CCM: pikipiki kutumika kama ambulance; Waganga/wachawi wa mvua, PM anashangaa nyumba za tembe Ngara, Mmiliki wa Downs Rais hamjui na anakiri Richmond ni kampuni hewa. Pima akili za hawa watu; then ni kuwaombea pepo yawatoke tu au kuwapeleka wote kwa Babu wakanywe dawa
Wanatumia njia siositaiki kujibu CDM - Watanzania wanataka maisha yao yaboreshwe. sio kuwapa uongo mara tatu kwa kutwa kama panadol( kupunguza maumivu). Serikali haina msemaji, wote wanasema ovyo ovyo tu.
Hii hamasa itadumu hadi 2015? - matokeo ya muda mfupi wa hii hamasa ni lini? Wananchi wasije kuchoka CDM kama walivyokwisha choka CCM kwa maendeleo ya maisha yao.
Huyu kijana hakuna lolote ni unafiki mtupu - Pesa la Rostam mbona hakurudisha. Kuna tetesi kesha pewa zawadi ya biashara na Rostam ( Vodacom shop) - mbona hakurudisha. Siasa hiyo
Mfano mwingine - CCM wanasema in wanachama million tano; je walimchagua JK wote? akili za Ki-CCM hizo. Na hapakuwa na haja ya kufanya uchaguzi, CCM ilikuwa na wanachama wengi kuzidi vyama vingine. Je Matokeo yalikuwaje? Pinda ana elimu ya shule za kata!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.