MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 145
Sasa milioni moja hiyo ni posho ya kutembelea kituo kimoja tu cha mtera.. Je wakienda kidatu, kihansi, kiwira, ruvu,,ubungo pale, nyumba ya mungu na kwengineko itakuwaje???
Nadhani sasa ni wakati wa kufanya mabadiliko makubwa kama vile misri.. Huyu kijana bado siwezi kumkubali sana... Tuzidi kumchunguza zaidi..
Nadhani sasa ni wakati wa kufanya mabadiliko makubwa kama vile misri.. Huyu kijana bado siwezi kumkubali sana... Tuzidi kumchunguza zaidi..