Kwa logic ya Pinda: Kulikuwa hakuna hata haja ya kuwa na uchaguzi mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa logic ya Pinda: Kulikuwa hakuna hata haja ya kuwa na uchaguzi mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Feb 11, 2011.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Pinda anasema kuwa madiwani wa ccm walikuwa 16 na wapinzani walikuwa 14 kwahiyo ni dhahiri kuwa ccm wangeshinda kwa wingi wao.
  Waziri mkuu anasahau kuwa tz ni nchi ya kidemokrasia siyo lazima diwani wa ccm kumpigia kura diwani wa ccm eti tu kwa kuwa ni mwanaccm mwenzake kufikiria hivyo ni aina fulani ya upunguani kwani inaua kabisa maana ya kuwa na uchaguzi.
  Ccm ina wanachama milioni nne na wapinzani wana wanachama chini ya milioni moja. Kwa logic ya pinda kulikuwa hakuna hata haja ya kuwa na uchaguzi mkuu kwani hata kwa hesabu za kitoto ccm itashinda kwahiyo hakukuwa hata na haja ya uchaguzi kufanyika!!!
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  na wanasahau kuwa kuna diwani anamapenzi na cdm na alisha weka wazi..
   
 3. Tekelinalokujia

  Tekelinalokujia JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawa jamaa walizoea wasindikizaji, safari hii wamekutana na wapinzani sasa bado kidogo kusoma alama za nyakati maana mambo mengi wanajichukulia for granted ila yatakapokuja kuwamwagikia ndipo wataelewa kinachoendelea, Egypt miaka 30 jamaa kaonongoza sasa hawezi kuelewa jinsi washkaji walivyomchoka, wenyewe wa-egypt wanasema OVERCOMING FEAR ndio iliyosababisha peoples power kua effective @ this time.
   
 4. Bless the 12

  Bless the 12 Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pinda hana maana amekuwa kama li shock absorber la mafisadi. Hakuna tena cha mtoto wa mkulima maana hiyo ni janja ya kugain trust ya public tu.

  Majizi yapo palepale, mafisadi pale pale na kila kukicha ni kuteteana, yeye kama angekuwa serious basi aoneshe kwa vitendo kwa mambo ya msingi katika nchi hasa uzembe wa jeshi la polisi.
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  huyu bend mi simuelewi, sasa anasema ccm kuna madiwani 16, chadema 14, tlp 1, na anasema ccm ilikuwa lazima washinde sababu ya wingi wao. ilikuwaje tlp akashinda unaibu meya wakati alipopambana na ccm na chadema ili hali ccm ni wengi? naona huo mchezo walicheza tlp na ccm, kwamba ccm wachukue umeya na tlp wapate unaibu...pinda is useless!!!!
   
 6. n

  niweze JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anaonekana kweli elimu yake inafanya kazi. Pinda kasomea nini tena? Tuangalie mdomo wake na vitendo vyake ofisini kaleta mabadiliko gani mpaka sasa hivi? Domo alilokuwa nalo na picha za kisanii daily news ndizo anajiona kafika kukaa nyumba ya bure ya serikali....ccm kama wanachama milioni nne kwa hiyo Tanzania population ni milioni 43 (43 - 4 = 39) Chadema wanawachama milioni 39...thats truth Pinda, good job. Get Out the Office.
   
 7. A

  Anaruditena Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mfano mwingine - CCM wanasema in wanachama million tano; je walimchagua JK wote? akili za Ki-CCM hizo. Na hapakuwa na haja ya kufanya uchaguzi, CCM ilikuwa na wanachama wengi kuzidi vyama vingine. Je Matokeo yalikuwaje? Pinda ana elimu ya shule za kata!
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Pinda siyo wa kubishana naye, anachokiongea sio anacho kimaanisha,ana wajibu wa kutetea kitumbua chake,mtu akishakuwa kwenye tabaka tawala basi anajinasibisha na tabaka hilo,tukubali tukatae,leo hii akiongea tofauti si atasulubiwa?mara ngapi tumemsikia sitta akilaumU amesulubiwa ndani ya chama?Lakini ukweli upo palepale kuwa CCM hawako imara wanachokifanya kwa chadema ni psychological tortue,waziri mkuu asiongee uwongo yeye ni nani?
  Bunge la sasa ni la full comedy,kuna mabo mengi tuyatarajie lakini kutukanana ni moja ya vioja tutakavyovisikia tena kupitia Bungeni hukohuko,hasa katika bunge la BAJETI:roll:
   
 9. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nadhani wale waliokuwa wakidai Dr. Slaa apelekwe Mirembe walikosea. Huyu pinda ndio anatakiwa kupelekwa Mirembe.
   
 10. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kapinda balaa
   
 11. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kuna watu wachache ccm wameshajua kwamba kuwa mwanachama wa ccm siyo lazima upigie kura mgombea wa ccm. Ila itachukuwa muda kwa wale maguru kuamini kwamba hilo linatokea. Ina maana kwamba Pinda hajui hata mfano wa uchaguzi wa Halmashauri ya Hai ambako diwani mmoja wa ccm alipigia kura mgombea wa chadema
   
 12. doup

  doup JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Dah! hii kiboko, Mkubwa mbona wa CUF,UDP,DP n.k mbona hujawatoa, au idadi ni negligible

  Huyu Mzee naye kashemka, inaonekana jinsi wanavyowalazimisha wanachama wao kuchagua madudu, hata kama nafsi zao hazitaki
   
 13. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Ni wazi kuwa watawala wengi huko Africa bado kufahamu demokrasia ni nini wachilia mbali kuikabali.

  Wao wanapima upepo kwa kiganja cha mkono. Raia wa Tz leo sio wa jana, takwimu na maelezo kama ya Pinda yalikuwa na nguvu enzi fulani iliyopita lakini sio leo. Kusema (by implication) wingi wa madiwani wa ccm arusha ndio kushinda kwao ni sawa na kusema hivi... kwa ccm maslahi ya kwanza ni ya kichama, then ya nchi na mwisho ya mwananchi. KWeli ni janga kubwa mno kuliko yote ccm ilipochakachua kubaki madarakani.
   
 14. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pinda ni Mwongo na Kizabina zabina. Ni mtu pumbavu asiye na uwezo wa kujisimamia. Pinda afai kabisa!!
   
 15. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,989
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  Pinda asipomstopisha spika kuhusu hatua anayotaka kumchukulia Lema, he is up against one massive embarrasment of his life!

  Naanza kuamini kuwa huyu bwana (Pinda) si "kondoo" tu but also nadhani ka-brain kake kazito kidogo!
   
Loading...