Wazungu ni wajinga au wana hela za kuchezea?

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Yaani pamoja na kelele zoote za ufisadi na ufujaji mali ndani ya Tanzania bado wanaendelea tu kumwaga mipesa Tanzania?

Ndo kusema wanaona raha kulisha mafisadi au wananchi wa nchi zao hawana shinda kabisa hadi wapoteze hela kiasi hiki?

SERIKALI ya Uingereza itaipatia Tanzania Sh1.5trilioni kuisaidia kutekeleza Mpango Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) na kupunguza umasikini.

Uingereza yaipa Tanzania Sh.1.5trilioni
 
hiyo ni investment siyo msaada,what they get in return:
-Employement to their unemployed consultants cum spies (cheki wikileaks)
-the money will by vitendea kazi from UK
-It will guarantee political influence (uK-EU is competing with China)
-Last but not least un hindered access to our Natural Resources. (angalia Libya.after machufuko UK special forces wameenda libya on Secret missions ,evacuations ktk oil fields)so kumuachia yule mfungwa back to libya haikuwa bure-bure.
Mkuu with the above hakuna wanachopoteza ni sisi ndio tunapoteza kitaifa na kuonekana mambumbu,with our broken down failed systems on Revenue and Financial controls
 
Yaani pamoja na kelele zoote za ufisadi na ufujaji mali ndani ya Tanzania bado wanaendelea tu kumwaga mipesa Tanzania?

Ndo kusema wanaona raha kulisha mafisadi au wananchi wa nchi zao hawana shinda kabisa hadi wapoteze hela kiasi hiki?

SERIKALI ya Uingereza itaipatia Tanzania Sh1.5trilioni kuisaidia kutekeleza Mpango Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) na kupunguza umasikini.

Uingereza yaipa Tanzania Sh.1.5trilioni

...ni wajanja na wanahela za kutumia!!!
 
...unahisi tunachowapa wao kuna thamani ndogo kuliko hiyo 1.5 Trillion waliotupa?? Think!!!
 
si kwamba zote zitafika. Huwe kumsaidia fisadi wakati unajua ni fisadi. Ukiona hivyo pale ubalozini kuna watu wana dili zao.
 
nothing goes with nothing and there is always no free lunch
Tafakari
 
Hivi nyie jamani ni watu wa aina gani? Hamtaki hata nchi yenu ipewe msaada? Kwa namna hii napata wasi wasi na ubinafsi wenu na chadema yenu kuwa hamuitakii mema nchi zaidi ya maslah yenu tu. Na kwa sababu hiyo basi niko tayari kupambana ktk vita dhidi ya chadema ingawa mimi si ccm.
 
kwani wao hawahitaji msaada?
 
unapenda misaada mkuu!
Ndio hiyo hiyo inayotufanya tushindwe kufanya maamuzi sahihi.
Unapewa bilioni moja unamuachia pande la ardhi lenye madini. Wapi na wapi! Amka mkuu.
 
Hivi nyie jamani ni watu wa aina gani? Hamtaki hata nchi yenu ipewe msaada? Kwa namna hii napata wasi wasi na ubinafsi wenu na chadema yenu kuwa hamuitakii mema nchi zaidi ya maslah yenu tu. Na kwa sababu hiyo basi niko tayari kupambana ktk vita dhidi ya chadema ingawa mimi si ccm.

You're so naive my friend, it's pathetic to have people like you in Tanzania. The is no free lunch in the world. You think these people love us so much to give us all $$$ for free?

Usiwe mvivu wa kufikiri au kusoma, rejea aliyofafanua huyu great thinker
hiyo ni investment siyo msaada,what they get in return:
-Employement to their unemployed consultants cum spies (cheki wikileaks)
-the money will by vitendea kazi from UK
-It will guarantee political influence (uK-EU is competing with China)
-Last but not least un hindered access to our Natural Resources. (angalia Libya.after machufuko UK special forces wameenda libya on Secret missions ,evacuations ktk oil fields) so kumuachia yule mfungwa back to libya haikuwa bure-bure.
 
Hivi nyie jamani ni watu wa aina gani? Hamtaki hata nchi yenu ipewe msaada? Kwa namna hii napata wasi wasi na ubinafsi wenu na chadema yenu kuwa hamuitakii mema nchi zaidi ya maslah yenu tu. Na kwa sababu hiyo basi niko tayari kupambana ktk vita dhidi ya chadema ingawa mimi si ccm.

Acha uongo Mtabe! wewe cdm you sound so si lazima uwe na kadi unaweza kuwa unaisupport cdm tu kama wengi humu jf kwa kuwa hakuna kingine bora zaidi. nacho ndicho peke yake kimethubutu kumfunga paka kengele halafu kinakaza kamba!
 
Mzee Newmazalendo ninakuvulia kofia kua umewiva ktk foreign policy, ingawaje usisahau kitu kimoja kua kama Tanzania itatumia huo msaada vizuri basi nayo pia itafaidika na hii nafikiri ndio mfumo wa dunia ulivyo. Sidhani kua bado wako watu wanaosadia bila masilahi, chakuangalia tu ni kua wewe unafaidika kiasi gani ktk msaada wowote unaopokea. Wacha wazungu watupe pesa kwani kukaa na capital bila kuifanyia biashara maana yake ni hasara.
 
Hivi nyie jamani ni watu wa aina gani? Hamtaki hata nchi yenu ipewe msaada? Kwa namna hii napata wasi wasi na ubinafsi wenu na chadema yenu kuwa hamuitakii mema nchi zaidi ya maslah yenu tu. Na kwa sababu hiyo basi niko tayari kupambana ktk vita dhidi ya chadema ingawa mimi si ccm.
unamwona cameroon anavyowabana watu wake eti akupe msaada wewe bure, kwani ufisadi Tz unafanyika na nani (rada ilitoka wapi, ndege ya rais, wamiliki wa migodo etc)
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom