Recent content by amushasha

  1. A

    Wenyeviti wa serikali za mitaa nchini wametoa masaa 24 kwa katibu mkuu wa TAMISEMI kuwaomba radhi

    Kwani Kama hiyo mihuri inafanyiwa Dili na Wenye viti,hao makatibu kata wakipewa hawataifanyia dili?Hapa cha kujiuiliza nu Kwa nini Wenyeviti hawanaga mishahara wakati wabunge,madiwani wanajilipa.Hawa Wenyeviti hupata malipo yao Kwenye hizi mihuri.Shame.
  2. A

    Hivi huku ndo kuinyoosha nchi au ilikuwa ni chuki tu?

    Tabia ya kuchukulia kupotea kwa Ben Saa nane Kama mzaha linasikitisha Sana. Ni Kijana mwenye wazazi na familia na ndugu.Tofauti za kisiasa hazipaswi kuingizwa Kwenye swala hili.Kweli siasa zisizojali utu wa binadamu hazipaswi kupewa nafasi.Huyu Kijana amepteaje na jitihada Za kumtafuta...
  3. A

    Kinana: Hakuna mwenye ubavu wa kumtangaza Maalim Seif Rais

    Jamani binadamu tumwogope Mungu.
  4. A

    Wanasayansi: Wanawake wenye makalio makubwa wana akili kuliko flat screen

    Anayepinga apinge na tafiti siyo kuja na bla bla bla Kwa vile huna makalio Kama mwanamke au mkeo hana Kama Mwanaume. wa TZ nyie Hata Sijui mnabishaga nini ?Kila kitu ubishi bila Hata kufanya kautafiti kadogo.
  5. A

    Video: Maxence Melo awashukuru wote walioshiriki na hana tatizo na yeyote

    Pole Na hongera.Nilikuombea Na nazisi kukuombea. Nani aweze kushindana na Sauti ya Mungu?Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu.Asante Kwa busara,unyeyekevu,hekima na upole.Hakika Mungu atakupigania Siku zote Za Maisha yako.Na atakufanya mkubwa katika taifa hili Kwa sababu huna nia ovu bali nia yako...
  6. A

    Suala la Kodi TRA: Magufuli, kwa mwenendo huu utashindwa tu

    Tatizo la wa TZ ni kukosa uaminifu.Mtu ananunua Gari $5000 anashrikiana na supplier ku under value invoice na anaweza kuleta invoice ya $2500.Sasa nyakati hizi za sayansi na technologia unafikiri TRA hawaelewi mbinu hii?Market value inatumika kupata thamani halisi ya Gari.Ni rahisi kujua thamani...
  7. A

    Dk. Mahanga: Magufuli anadidimiza uchumi

    Sio Kweli Kwamba mtu analipishwa Kodi Kwa kuangalia assets .Wa TZ tuna tabia ya upotoshaji wao Kila kitu.Mtu Kama anakuja kuanzisha biashara ndogo ndogo na hajasajiliwa na BRELA anakadiriwa (assessed) kulingana na mnategemeo ya mapato (mauzo) atakavyo yapata Kwa mwaka.Hivyo mtu huulizwa...
  8. A

    Je Suis Maxence...

    Mungu wangu katika jina la Yesu.Nasimama Kwa unyeyekevu nikiomba Kwa Imani haki itendeke Kwa Kijana Melo.Mungu wangu na bwana wangu,shusha mkono wako wenye nguvu na Watu Wote watambue Kuwa Wewe Ni Mungu wa haki.Asante Mungu Kwa sababu unaenda kusimama.Wewe tu ndo unayetustahilisha na Wewe tu...
  9. A

    'Majembe' yaliyowekwa benchi na mheshimiwa

    Kanali Masawe alitaka kufanya Kagera iwe Kama Kigali.Mji ulianza kushamiri Kwa usafi.Watu wa Kagera walimbatiza jina la Mulokozi,maana yake Kama amekuja Kagera kuwaokoa .Hadi Leo Kagera wanamlilia Kanalin Masawe na mapaka Leo Hakuna anayejua alikosa nini.Kweli Kama nia ya kuleta maendeleo Kwa...
  10. A

    Je, Watanzania hatuaminiani?

    Kukisha Kuwa na udanganyifu kweye chaguzi Za kisiasa,zinazotawaliwa na rushwa na wizi wa kura,hakuwezi Kuwa Na haki tena Sehemu yoyote.Tunapataje viongozi?Tume zinatenda haki?Hapo ndo pa kuanzia.
  11. A

    RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    Mtu anatoa ulalamishi hapo hapo mtumishi wa umma at anatakiwa kumjibu pale pale.Yaani mtumishi utakuwa na taarifa ya complaints za Watu Wote kichwani kweli.Udhalilishaji huu Kwa watumishi wa umma si haki.Wengine Watu wazima na familia zao mtu anawatukana Kama watoto wadogo?Hata Kama kuna nia...
  12. A

    Tundu Lissu: Rais asipochukua hatua tutajua yeye ndiye amegawa zile hela

    Katika hili la kugawana pesa,hata Mimi Mwana CCM sitokubaliana nalo kamwe.Hatuwezi Kuwa Na mwenyekiti anayepinga ufisadi Halafu Sisi wenyewe tukakubali ufisadi wa wazi namna hii.Haitakubalika na juhudi zote zinazofanywa za kukomesha ufisadi zitakuwa kazi bure.
  13. A

    Uhakiki wa vyeti unaendelea TRA, sasa ni vyeti vya darasa la Saba

    Hivi vyeti vya primary huwa vinatakiwa wakati gani?Havikuwahi kutakiwa kokote na hata ukiingia form one hasa shule Za serikali ulikuwa ukipokelewa shule kwa matokeo ya darasa la Saba.Ilijulikana huwezi kuingia darasa form one bila kumaliza darasa la Saba hasa government schools. hivyo Watu...
  14. A

    Maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Utumishi

    Hawataki masters wala PH.D. eti ni mbwembwe! Lakini teuzi nyingi wamechagua Watu wa aina hii.Kama zisingekuwepo kwa jitihada binafsi za Watu wangeenda kuchagua/kuteua Rwanda? Hili bandiko inawezekana ni kweli ila mwadishi kaongeza mbwembwe.
  15. A

    Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Hata watoto wa Obama wanaishi Ikulu na wana ulinzi mkali Sana.Kote duniani watoto wa ma raisi huwekewa ulinzi madhubuti.Tatizo langu ni Kuwa mnamuita kilaza namba moja na yuko University.Na raisi wetu JPM Amesema Ni TZ tu ambako mwenye div 4 huenda Chuo kikuu.Hapa watakapoondolewa vilaza Wote...
Back
Top Bottom