'Majembe' yaliyowekwa benchi na mheshimiwa

Kibajaji una hamu ya mipasho na ngonjera mwacheni aendelee kuelimisha wananchi wake na imani potofu za kunyonywa damu
 
Mbona Kitwanga hamujamtaja tu?
Jembe original ni Tibajuka tu tena wakimataifa.
 
Wasomi wapo kibao mtaani wacha wengine wapate hizo nafasi.
Huyu mleta mada atakuwa mtoto wa mmojawapo was hao aliowataja,kuna vifaa vipya viko vingi sana mitaani kwa nini wawe hao waliotumika mpaka wakachoka
 
Huyu mleta mada atakuwa mtoto wa mmojawapo was hao aliowataja,kuna vifaa vipya viko vingi sana mitaani kwa nini wawe hao waliotumika mpaka wakachoka


Si ndo hapo, kuna watu wapo smart kichwani mpk mnamuogopa itakuwa hao waliosoma ngumalo (kidding)
 
Kanali Masawe alitaka kufanya Kagera iwe Kama Kigali.Mji ulianza kushamiri Kwa usafi.Watu wa Kagera walimbatiza jina la Mulokozi,maana yake Kama amekuja Kagera kuwaokoa .Hadi Leo Kagera wanamlilia Kanalin Masawe na mapaka Leo Hakuna anayejua alikosa nini.Kweli Kama nia ya kuleta maendeleo Kwa Watu Ni njema,Huyu Kanali Masawe arudishwe tena Kageara amalizie Kazi aliyo ianza.Tangu ameondoka hakuna kilichoendelezwa. Wana Kagera wataniunga mkono.
 
I have worked with many strong men and colonel Masawe is on my list. Very creative and discplined
 
kwani mmetumwa kuwasemea. yawezekana kama waliowekwa kando majembe basi mkuu kaingiza mundu za kufyekea ama sururu ya kulima na kupasua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom