Mkuu,
Hio kitu inaitwa Income Tax on rogue, tax policy za kukopi toka UK na US, ambazo tumefail kuzielewa, ilitakiwa afungue mlango wake bila buguza, and then after up to a max of 23 months, he should have performed the first return ya IT, ambayo itaambatanisha, Income and Expenditure.
From there on, ndio itaidhinisha as to how much he should paid in advance based on the previous income tax, capital expenditure isiwe sababu ya kumkokotea mtu mapato yake, na tax ulimwenguni kote inategemea na net taxable income, yaani baada ya kuondoa capital expenditue kama ni sehemu ya capital allowances, in his case will be charged as depreciation, yaani kama amenunua cooker, milango na any sort of assets, should be charged on his Gross income over a period of 8 years or less, na pamoja kutoa operation expenses na Cost of sales, before paying tax.
na huko Ulaya mara nyingi, sana mtu kama muuza chips, na wengine wengi, ni self assessment, they have little Tax credits, when charged their tax liability by their respective authority kwa kwetu TRA, kama vile mtu ambaye ameajiriwa, ambaye anakatwa kodi na muajiriwa wake through PAYE, halafu kampuni inayohusika inafanya returns, hawa wanakua na defined Tax credits, which is straight foward.
kwa hilo TRA wanaabuse the system, na kama iko ivyo inabidi ibadilike, through time wataweza kujifunza as to how much in average muuza chips, au duka la nguo in average walipe kiasi gani based on their region they live in na location ya business wanazo operate. na mtu ukifile less than what it should be, the TRA should have a mechanism to issue revenue audit, ikiwa volunatarily au involuntarily, yaani ni wastage ya resources kwa upande wao, TRA kuwawinda the small fishes in a big pond.
nahisi sijakochosha.