RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

Naomba kwa umoja na utaifa wetu tuungane kwa pamoja, KUPAZA SAUTI ZETU KUMUONDOA MKUU WA MKOA WA DAR, P. MAKONDA KWA LUGHA CHAFU ALIOITUMIA KWA AFISA ARIDHI MANISIPAA YA KINONDONI.

Juzi kapigiwa simu na kusifiwa kwa utendaji uliotukuka unaofanana na wa malaika, leo uje useme aondoke!?
 
Mtu anatoa ulalamishi hapo hapo mtumishi wa umma at anatakiwa kumjibu pale pale.Yaani mtumishi utakuwa na taarifa ya complaints za Watu Wote kichwani kweli.Udhalilishaji huu Kwa watumishi wa umma si haki.Wengine Watu wazima na familia zao mtu anawatukana Kama watoto wadogo?Hata Kama kuna nia nzuri ya kutatua Kero,Approach haikubaliki.Enough is enough.
 
Makonda Asubuhi Makonda jioni,Hata ndoto mbaya zimeletwa na Makonda. MAKONDA,MAKONDA, Duh jamani nyie!!!
Hatuwezi kumhukumu mtu bila kumsikiliza. Aliongea katika mantiki ipi. Je ALIMTUKANA moja kwa moja ama alisema katika kutoa MFANO; Nikisema kwa mfano "UENDAWAZIMU kama huu mimi sitaki". Hapo SIJATUKANA mtu ila nimezungumzia TENDO la KIJINGA,UKICHAA,UPUUZI nk.
Bila kumwita mtu WEWE ni kichaa. Aliye na AUDIO basi atupatie ili TUJUE yale anayodaiwa kuyasema ili tujue aliyasema katika mantiki ipi. Na kama HAKUNA basi tuache shari!!

Maswali muhimu:
-Kwa nini watu wengine HAWAMTAKI RC Makonda?
-Mbona ALIPOKUWA yungali CHINI kama MKUU wa WILAYA,haya malalamiko HATUKUYASIKIA?
-Mbona tu baada ya kupata UKUU wa Mkoa kila mmoja sasa anaona Makonda ni MBAYA?
- Mbona wakati wa Kikwete HAMKUMSEMA? I smell a rat!!

Hizi ni njama za kutaka KUMMALIZA KISIASA!
Naona wengine wanamwona ni kama TISHIO!
Jamani hatachukuwa nyadhifa zenu wengine,Acheni WIVU!!!!!!!!!!!!
 
Naomba kwa umoja na utaifa wetu tuungane kwa pamoja, KUPAZA SAUTI ZETU KUMUONDOA MKUU WA MKOA WA DAR, P. MAKONDA KWA LUGHA CHAFU ALIOITUMIA KWA AFISA ARIDHI MANISIPAA YA KINONDONI.
Kwa uandishi huu kamwe hii movement mwisho wake JF
 
Jamaa amefikia hatua ya kujiita Mungu, ukisikiliza kuanzia dk ya 3:32, uyasikikia jisi jamaa alivyojipa mamlaka makubwa kihasi cha kutisha
 
Naomba kwa umoja na utaifa wetu tuungane kwa pamoja, KUPAZA SAUTI ZETU KUMUONDOA MKUU WA MKOA WA DAR, P. MAKONDA KWA LUGHA CHAFU ALIOITUMIA KWA AFISA ARIDHI MANISIPAA YA KINONDONI.
jana alisimama pale kogogo
anazindua gaden akasema mwananchi si mnajua ofsini kwangu leteni kero zenu mm bado nipo sana yani anauhakika kabisa wa miaka 10
 
Acha kuleta undugu katika kazi we have to change

Utendaji ukiwa wakueleweka nani atakubugudhi???


Unauliza swali mtu badala ya kujibu anatoa maelezo ukiambiwa utoe maelezo sijui utaleta nini

Hata awe nani wangu kama alikosea ni sawa tuu

NINGEKUWA REGIONAL COMMISSIONER MIMI MBONA MNGELIA SANA ningekinukisha kila siku
Muombe mwizukhulu akupe ukuu uwachape vibao, ila hili tatizo ujanja ujanja ujanja kwenye aridhi ni kero natamani kufahamu kama mlalamikaji alitatuliwa kero yake ila kama anataka kutatua hii kero ya aridhi aanze na shina Lukuvi la sivyo anajichumia za bure
 
Naomba kwa umoja na utaifa wetu tuungane kwa pamoja, KUPAZA SAUTI ZETU KUMUONDOA MKUU WA MKOA WA DAR, P. MAKONDA KWA LUGHA CHAFU ALIOITUMIA KWA AFISA ARIDHI MANISIPAA YA KINONDONI.

Huna cha kufanya ,wewe na hao maafisa ardhi wote ni wahujumu wananchi...tunaanza kushughulika na nyinyi kwanza,,mmetutesa sana ,kiama chenu kimefika
 
Kifungu gani ?? Mi sina vifungu unavyo vitaka weka wewe ivyo vifungu ambavyo Mimi sijaviweka


Acheni kukurupuka na ningekuwa Mimi mkuu wa mkoa ningemchapa huyo mtumishi wa uma makofi mawili ya motoooo , linchi la wajinga kabisa ilo kila kitu kipo shaghalabaghala arghhhhhh mnakera sana


Endeleeeni kucheza taarabu
we mtu ukapimwe akili kwanza mana huna point kabisa. wenzako wametoa na vifungu vya sheria vinavyosimamia ilo jambo na ndo maana wameona ana makosa sasa wewe unaambiwa toa vifungu vyako unavyoona vinamlinda unaanza kupayuka hauna ata muelekeo. sio kila uzi ni lazima ujibu ukiona mada imekuzidi uwezo wako wa kufikiri kaa kimya. kila mtu kilaza kwa upande wake. kwa hili naona akili yako ndogo kaa pembeni wanaojielewa waendelee nalo.
 
Huo ni udhalilishaji wa mtu kama mtu na sio uanamke wake. HUYU JAMAA AMEZID SANA
Mimi nimeshindwa kushangaa Makonda aliposema,"mimi nikisimama mahala, Mungu amesimama".
Madaraka kitu mbaya, dogo anajilinganisha na Mungu!? duh.
Tanzania ya viwanda vya matamko.
 
Hamna tusi wala nini wabongo mmezoea vitu easy, kaulizwa swali yy anazungusha tu kwa nchi za huko duniani huyu hana kazi next day. Tufanye kazi tuache longo longo.
 
Kawazalilishaje , mbona mnakurupuka ??

Shida hamtaki kuambiwa ukweli maana asilimia kubwa ya watumishi wa uma ni mabogas sana

Tena alipaswa amchape vibao huyo mtumishi wa uma maana wamezidisha ubwege pambaf kabisa

Watanzania wavivu wa kufikiri na kutenda jinga kabisa
leo kwake kesho kwako,kwa mkeo,dada yako,binti yako au jirani yako.
[HASHTAG]#tukemeeuovu[/HASHTAG]
 
Uongozi hovyo hovyo, kichaa kapewa rungu sokoni. Tukizidi kumzomea tutazidi kuumia, siasa zetu mwaka huu ni kujipendekeza na kutaka sifa kwa mkuu wa kaya Kama yeye anavyopenda kuonekana mchapakazi kwenye Media. Nchi inasambaratika, things are falling apart. KUTUMBUA MBELE KWA MBELE Hakuna tena busara wala maadili ya uongozi. Hali ni tete Tanzania
 
Hamna tusi wala nini wabongo mmezoea vitu easy, kaulizwa swali yy anazungusha tu kwa nchi za huko duniani huyu hana kazi next day. Tufanye kazi tuache longo longo.
Hapa Tanzania ukinya mavi makubwa kabisa na ukisema ni pilau, utapata watu wa kukuunga mkono.
 
Back
Top Bottom