Vyema sana,
Japo mimi sio muislamu nimependa ulivyojibu kwa kujizatiti katika kile ulichokisoma na unachokiamini kwa unyenyekevu. Umefanya niukumbuke mstari mmoja katika Biblia, nanukuu
" Muwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na...
Hahaa Mkuu kati ya vitu ambavyo hua vinanipa changamoto ni usafiri wa kutoka Dom -Tanga,
Maana ukishachelewa asubuhi inabidi usafiri kwa kuunga unga. Sasa nilivyoona mdau katoa option hiyo kwenye masihara yake ikabidi nimuulize nisijekuwa nahangaika bure kumbe kuna alternative [emoji1787]
Daah mkuu hizi mambo zinahitaji umakini sana
Nashangaa nimejilipua nika bet no
Kuja kucheki vizuri wamenigeuzia kibao kuwa nime bett chelsea kutofika nusu fainali
Daaah???
Imebidi niuze mkeka kwa hasaraa
Wakuu kunakitu sielewi kwenye bett on big games
Naona sasa hivi 1x bett chelsea to win UEFA 2020/21
No imepewa odds 11.5
Inamaamisha nini hasa!?
Kwamba niki bett chelsea hachukui Uefa mwaka huu ntalipwa kwa odds kubwa kiasi hicho!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.