Hopefully enough kwamba Mnaendelea vyema ndugu zangu, Baada ya Kumla Shemeji kimasihara si akaniganda Jumatano amerudi Kazini kakanyagia ghetto kigamboni alishawah kuja na mshkaj wangu sasa kwa bahati mbaya ghetto Main Chick analala anapika anapakua na anafunguo za kila sehemu (nimepanga nyumba nzima) hata nikiwa busy kwenye harakate zangu yeye anaamkia ghetto kwenda Kazini kwake
Shemeji akafika home akagonga hakuna aliemuitikia akaamua kuingia ndani akanikuta nimelala kwenye sofa ukumbini TV ipo on bas akaja hadi nilipo Akaanza kuniletea miyeyusho haikupta hata muda Main Chick akaingia kwani nilimtaarifu kua nimerudi akamkuta yule demu anaingiza mkono kwa dushe basi hakuuliza akamrushia mzigo Aliokua ameushika ulikua na mboga matunda
hapo mi ndo nikamka nakuta varangati si unajua wanawake kwa makelele
Nikaanza kuwaamulia sasa nikamchukua Main Chick nikaenda kumfungia room nikarudi nikamchukua Shemeji nikampeleka ndani ya gar(Crown ya Main Chick) njiani mikanyo kweli kweli nikawa sitaki hata kumfumbia macho nikamwambia we ulijirahisisha mi nikafanya yangu lakini sina hisia wala chochote juu yako ishi maisha yako usiniingilie basi kikawa kinalia nakulalamka mi busy na drive speed kweli kweli thanks to God sikupata ajali had nimemfikisha kwake
Nikarud kubembeleza penzi kwa main chick maana ni kisiran kweli kweli si unajua wanawake wakiwa na vichenji kufungua mlango namkuta analia kweli kweli hapo zishapta kama dakika 30 kukaa chini nimvute nimbembeleze kosa akanipa Kofi matata sana na kilio juu kalalama wee nikamuacha amalize alivyomaliza nikamuongopea kama kwa dakika 10 hivi unajua sisi tuliokulia pwani kwa kubembeleza mafundi

akatulia
Usiku namuaga nikaangalie UEFA SUPER CUP maana European Champions (CHELSEA My Favorite) walikua wanafanya yao akakubali kwa masharti eti twende wote basi na mi nikaghairi nikamchukua tukaenda kwa mama yangu(silaha yangu ya mwisho) nikamueleza juu ya kilichoendlea bas mama akamueka sawa angalau Alimuelew baada ya hapo Mom akapika tukachukua chakula then Nikadrive hadi Coco tukapaki gar pembeni tukakaa juu ya boneti tukala Dinner pale ila bado alikua analalamika
Nikaanza ratiba ya kumpeleka Kazini na kumfata kuanzia Alhamisi hadi Ijumaa Lunch naenda kula nae (Ndo anachopenda) Jana mchana nikaenda Kulipia Gold earrings(about 10 grams over 1 million) Posta pale Golden Plaza maana Main Chick hata masikio hajatoboa ila anataman sana muda ndo anakosaga mi nikatake advantage hapa
Alivyotoka Kazini Nikaenda nae akatobolewa na kuvishwa hereni Angalau sasa hata kucheka anacheka na hata kupika amepika leo Maana alisusa kila kitu hope Nikiendlea na speed ya kumpeleka na kumfata kazini with full of gifts and suprises kila kitu kitakaa sawa
Ndio maana huwa siwagi na mchepuko wa kudumu