Recent content by Amo1

  1. Amo1

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwa nini wew usiwe wa kwanza. tukapata uzoefu kupitia kwako
  2. Amo1

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hali ilikuwa tete kaka
  3. Amo1

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mimi ndio wa kwanza kuleta shuhuda
  4. Amo1

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Nilikuwa na sh 83. Ila asubuhi nimekuta digits za kutosha kutoka hazina hah
  5. Amo1

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kwenye huu uzi siwez kidanganya .. ni bora nikae kimya
  6. Amo1

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    CRDB tayari mzee
  7. Amo1

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    CRDB tayari wakuu. Nimeamka nakuta mpunga umeingia. Nawasilisha.
  8. Amo1

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Yani hii ndio akili yako.. au unatania mkuu
  9. Amo1

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sasa kinakuuma nini watu kusubiri mishahara yao
  10. Amo1

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

    Kwa hyo hili swali lako unataka , pia lijibiwe?.. kwan hao unaowasemea unahisi wako juu ya sheria
  11. Amo1

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wanajiita mabingwa wa dunia hao
  12. Amo1

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Leo hull city anapiga mtu.
  13. Amo1

    JamiiForums Tanzania Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

    Nikimuona mtu ana critisize Lissu , huwa ninakuwa na mashaka na uwezo wake wa kufikiri.. Anyway .. time will tell
  14. Amo1

    JamiiForums Tanzania Mume wa Rais Samia azikwa Kizimkazi, Zanzibar

    Mbon chap hivyo
  15. Amo1

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake wengi wanaolewa na watu wasiokuwa wa ndoto zao!

    Kaka siku izi hawa wanawake wanaigiza sana mapenzi, ni ngumu sana kujua anae kupenda kwa dhati. Akitaka jambo lake ( mfano ndoa) utafanyiwa maigizo yote mpaka uone kuwa ni mtu sahihi.
Back
Top Bottom