Recent content by Amini Nakwambia

  1. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Susha mkuu!
  2. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

    Uchochezi huu mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Movie za intelligensia

    Movie unakaa na notebook pembeni. [emoji4]
  4. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Steve hujawahi kuniangusha hata kidogo. Najua mkono wako vizuuuuuri kabisa.
  5. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Wizkid apata mtoto wa 3, azaa na manager wake

    Lovely!
  6. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Mwenye Degree yake anafanya haya, kweli vyuma vimekaza

    What an idea! Inabidi sasa watu wakiwa wanasoma wafahamu fika kuwa wanatakiwa kutengeneza mianya ya kujiajiri na si kuwaza kutembeza cv tu.
  7. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Njia nyembamba (Simulizi mpya by SteveMollel)

    Duh! Talib kammaliza Kessy!!!
  8. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Wakala wa kuzimu aliyetumwa na mafia

    Hapana mkuu sijui! Naomba uendelee kunielewesha
  9. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Darassa CMG umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

    Bwana mzee, ile utantoa roho haikuwa official released bali ilivuja. Hivyo akatoa hii hasara roho ambayo ndani yake unaweza ukasikia mistari ya unantoa roho.
  10. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Huyu binti wa kinyarwandwa hakika amenipa funzo kubwa sana!

    It will never be the same again.
  11. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Ivi ni kweli izi tafiti kuwa kila kwenye wanaume kumi wanne wana upungufu wa nguvu za kiume

    Sijasema kama napiga punyeto. Au macho yako 3D?
  12. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Wakala wa kuzimu aliyetumwa na mafia

    All in all mkuu Steve tunashukuru sana kwa kutupa mambo mapya ya kushangaza. Umesema kila wiki unatuma makala moja, please usinisahau katika ufalme wako mzee. Mie fan wako namba uno since day one!
  13. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Wakala wa kuzimu aliyetumwa na mafia

    Mkuu tushushie basi mambo, wewe unaona nini hapo katika jicho la tatu?
  14. Amini Nakwambia

    JamiiForums Tanzania Wanaume jifunzeni kukiss vizuri!

    Mbavuuuu!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom