Wanaume jifunzeni kukiss vizuri!

kwaza uliyetupia uzi huu hauko sahihi kabisa ww ndiye utakayemfanya mpenzi wako awe vile ambavyo ww unataka na ukitupia uzi kwenye mtandao na huku bado hujamfundisha umekosea Sana pili mambo ya chumbani ni ya sirini hutakiwi kutoa nje madhaifu ya mwezio wala yy hatakiwi kutoa nje madhaifu yako hayo ni ya chumbani tu mkiwa wawili na hapo ndipo utakapoelewa kwann kuna Chumba na sebule
 
nafikiri mleta mada hajakutana na wanaume wenye kuiweza hiyo shughuli kama mfarasa halisi wa Paris
 
Kuna wale wanakumiminia mate kabisa mdomoni!!! Unaweza tapika aisee! Kwani denda ni lazima umnyweshe mwenzio mate yako?
 
Back
Top Bottom