kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
hana cheti cha lasaba so nisawa kusema kaishia vidudu!! Huyu ndo think tank Wa mkulu na wanasiri za matukio yasopendeza ndomana mkulu hasubutu kumwacha
Necta wamesema hawana jina la paul makonda wala daudi bashite.
Hahahahaaa.......DAB.Rungwe alisema jamaa kama ni msanii basi aseme hiyo ni a.k.a yake!Akaongeza anamshangaa kwa kulia,yeye amezoea kumbembeleza mjukuu wake akilia!
Kwani Mbowe yupo katika hiyo list ya ForbesIla ni bosi wako kipesa.We hiyo Elimu yako imekusaidia nini?.Maana hatujakuona kwenye list ya Forbes
Acha uongo hata elimu yako haifiki hata nusu ya elimu ya Makonda,kule Chuo cha Ushirika ulisoma wewe?halafu tuambie mwenyekiti wako Dj kafika darasa la ngapiUzi huu hauna umuhimu wowote zaidi ya kuweka kumbukumbu katika hatua ambazo nchi yetu inapitia kama unavyojua JF ni archive ya mabaya na mazuri ya mama Tanzania.
Kwa mfumo wa elimu ya Tanzania unapohitimu kidato cha nne na kupata daraja sifuri hutatunukiwa cheti chochote. Kwa maana kwamba hutatambulika kama "uliyemaliza" form four......means tukiwaita waliohitimu form four wewe ukiitika utakuwa unajidanganya tu,maana huko mbele uyashindwa kutoa cheti
Hivyo kwa kuwa hujahitimu kidato cha nne ila umehitimu na kutunukiwa cheti cha darasa la saba hivyo mtu huyo hatatambulika kama muhitimu wa form four bali muhitimu wa darasa la saba.
Kwa logic huyo basi Paul Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar ni muhitimu wa darasa la saba.
Nimefanya utafiti wa mikoa yote bara na visiwani wakuu wa mikoa yote ni mkoa wa Dar pekee kwenye mkuu wa mikoa darasa la saba
Na pia ni mkuu wa mikoa pekee ambaye haieleweki anaitwa Paul Makonda au Daud Bashite!!
Kumbukumbu hizi ni muhimu sana. Kama Magufuli amelazimisha tuongozwe na mtu wa namna hii atashindwa vipi kulazimisha kumuachia ikulu?
Jioni Njema wakuu
Hamna shida, wewe anzisha thread.Chadema ni Chama pekee Mwenyekiti wake alipata ziro kidato cha sita
Usiringanishe mkuu wa mkoa na Mbunge tumiaga akilihuku mbeya mjini, mbunge wetu hatujui hata kaishia darasa La ngapi! ila namkubali tu hvyohvyo! dunia duara
Acha kutudhalilisha darasa la Saba.sisi ni wasafi na tunafanya kazi HALALI.Uzi huu hauna umuhimu wowote zaidi ya kuweka kumbukumbu katika hatua ambazo nchi yetu inapitia kama unavyojua JF ni archive ya mabaya na mazuri ya mama Tanzania.
Kwa mfumo wa elimu ya Tanzania unapohitimu kidato cha nne na kupata daraja sifuri hutatunukiwa cheti chochote. Kwa maana kwamba hutatambulika kama "uliyemaliza" form four......means tukiwaita waliohitimu form four wewe ukiitika utakuwa unajidanganya tu,maana huko mbele uyashindwa kutoa cheti
Hivyo kwa kuwa hujahitimu kidato cha nne ila umehitimu na kutunukiwa cheti cha darasa la saba hivyo mtu huyo hatatambulika kama muhitimu wa form four bali muhitimu wa darasa la saba.
Kwa logic huyo basi Paul Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar ni muhitimu wa darasa la saba.
Nimefanya utafiti wa mikoa yote bara na visiwani wakuu wa mikoa yote ni mkoa wa Dar pekee kwenye mkuu wa mikoa darasa la saba
Na pia ni mkuu wa mikoa pekee ambaye haieleweki anaitwa Paul Makonda au Daud Bashite!!
Kumbukumbu hizi ni muhimu sana. Kama Magufuli amelazimisha tuongozwe na mtu wa namna hii atashindwa vipi kulazimisha kumuachia ikulu?
Jioni Njema wakuu
Ulizia historian yake ya ushirika utatia akili,haya kama angefika Harvard University hana cheti cha form fourAcha uongo hata elimu yako haifiki hata nusu ya elimu ya Makonda,kule Chuo cha Ushirika ulisoma wewe?halafu tuambie mwenyekiti wako Dj kafika darasa la ngapi